Ungejibu vipi kama leo ungeulizwa swali hili.....................

For sure every time we are thinking of capturing infidelities....! Now this has shown some realities in most marriages....!
 
Huyu aliyetoa swali hili sio bure kuna maswaiba ya mahusiano yamemkuta

Kaizer/Teamo /Asprin vip mkiulizwa swali hili mna yepi ya kusema?
 
Huyu aliyetoa swali hili sio bure kuna maswaiba ya mahusiano yamemkuta

Kaizer/Teamo /Asprin vip mkiulizwa swali hili mna yepi ya kusema?


Mi FL1 ni ndiyo from the bottom of my heart.

Kwani baada ya miaka 5 inatakiwa upendo uwe umeisha? ama love ina deadline?:welcome:
 
Huyu aliyetoa swali hili sio bure kuna maswaiba ya mahusiano yamemkuta

Kaizer/Teamo /Asprin vip mkiulizwa swali hili mna yepi ya kusema?

Hakuna kilichonikuta kuhusu mada hii!ila nimeona niitoe hii changamoto ili tuweze kudadavua na kupeana mawazo tu!
 
Kama imepita miaka mitano na zaidi jibu ni NDIYO. Kwa sababu:

  • Kwa muda huo lengo la uhusiano huo uko bayana, kama ni kipato, sifa tu ya kuoa au kuolewa, kutafuta watoto, ushawishi wa wazazi ama marafiki au lilikuwa ni penzi la kweli.
  • Matatizo mengi katika ndoa hiyo/ uhusiano yatakuwa yamejitokeza na kupatiwa ufumbuzi. Matatizo hayo ni kama maradhi - wewe ama mpenzio, tofauti za tabia zenu, fitina za ndugu na majirani na chuki mbalimbali kutoka kwa jamii inayowazunguka.
  • Daima penzi hukomaa kadri siku zinavyosonga mbele kwa kuwa kila siku lipo jambo japo dogo linaloongeza mapenzi kwenu.
Kama moyoni utakiri kuwa jibu ni NO, utakuwa mtu wa ajabu sana kuishi na kiumbe mwingine kwa muda huo ukiwa humpendi. Unajitesa, utakuwa muongo na kubwa zaidi MAFANIKIO YAKO YATADIDIMIA.
 
Question your true feelings and answer them honestly to yourself. Are you still in love with your spouse or are you in love with the idea of marriage? Do you enjoy being with your spouse or does time together leave you irritated, depressed or wishing you were alone or somewhere else? Do you respect your spouse and feel supportive in values and beliefs? Connect problems that recur. A pattern of fighting over trivial matters, disagreeing about everything, cruel teasing, refusal to work on major issues, an unwillingness to compromise and always bringing up past hurts indicates that there are some serious problems in the marriage that may be beyond repair.

Try and inspect other relationships to see if the problems in your marriage are affecting how you relate to others and how you do your job. If others get a sense of sadness, moodiness, frustration, anger, fear, inattentiveness or impatience from you it might be time to consider how your marriage is going, Try and inspect other relationships to see if the problems in your marriage are affecting how you relate to others and how you do your job. If others get a sense of sadness, moodiness, frustration, anger, fear, inattentiveness or impatience from you it might be time to consider how your marriage is going.

Sometimes an outsider can offer perspectives on problems that seem hopeless. If you think you need time,then be determined to give your all to your marriage for a designated period of time. Make your best effort and really try to improve your marriage. If at the end of this time you still feel hopeless, you will have a feeling of closure knowing you did your best to save the marriage
 
Mke na mme hupendana au kuwa marafiki uzeeni. Many couples are not friends
 
Sielewi kwa nini kwa baadhi ya watu swali hili wanaliona gumu au wanashindwa kujua watajibuje. Mbona kwangu ni rahisi tu.

Mtu uko naye kwa muda wote halafu usijue kama unampenda au la? Ridiculously absurd and laughable....
 
Inategemea nani kauliza hilo swali na kwa namna gani, wengine wanga tu, hawapendi kuna mnaendelea!
Kama ni my wife mwenyewe ndy kaniuliza, au mtu wa maana atutakiaye mapenzi mema nitamwambia ukweli,
simply: ....MORE THAN EVER!
 
Mimi ningekuwa muwazi tu kuwa No/Yes. Jambo ambalo nilikuwa nalifahamu wakati naoa ni kwamba haiwezekani upendo ukawa ule ule hadi uzzeni lazima hapo katikati mambo yangebadilika, sisi ni wanadamu tusiokamilika na tumeoana kutoka katika culture au koo tofauti hivyo mambo mengi kwa miaka ya ndoa ya mwanzo ungeyaona ok, lakini kadiri sikuzinapokwenda yanakuwa tofauti, mfano mwenzako labda ananuka kikwapa, mwanzoni ungeona ni kama perfume kwako etc. lakini ikifikia kipindi fulani utaona kikwapa hicho kinakukera. Kwa ufupi ni kwamba jibu la No/yes linawezekana na hata ukisema kwa unafiki yes mwenzi wako atajua tu, hivyo bora kuwa wazi. Nawakilisha!
 
its deffo yes lakini na vipande vyake ningempa hapohapo

Kweli Ndoa kila mtu anajuwa jinsi anavyoipeleka. Mie kwangu kama nimekowewa nayaongea hapo hapo yanatoka moyoni. Kama kitu sijakipenda namwambia mke wangu kuwa hicho kitu sikipendi, na sitaki kukiona kinajirudia rudia. Jambo la msingi katika maisha ya Ndoa ni kuwa wawazi kwa kila mmoja na mawasiliano ndo njia pekee ya kuvunja hilo jungu. Kwa mke wangu nilishamwambia, mie siko perfect kama Engels.Ukiona kitu kimetokea hujapenda basi nambie ''mume wangu hilo jambo sijalipenda'' kama ni issue ya ku-discuss tunaweka mezani tunatatua tatizo maisha yanasonga mbele. Usiposema kama kitu kinakuhudhi, mwenzi wako siyo Malaika kujuwa unawaza nini, sema linalokusibu mambo yalekebishwe. Wengi wa wanandoa wanakuwa wakimya kwa mambo yanayohusu mahusiano. Ukikaa nalo moyoni unaanza kujenga visa na chuki zisizo za msingi kwa mtu ulosema ''nitakupenda na kukuheshimu katika maisha yangu yote, ktk shida na raha''. Acheni ukimya wana ndoa, Mawasiliano muhimu sana. Ndoa isiwe mateso bali Upendo na Amani. Raha sana to encourage open comm. Mambo mengi yenye kuleta mzozo mtayaepuka.
 
Back
Top Bottom