Ungana nasi katika mabadiliko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ungana nasi katika mabadiliko

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Vakwavwe, Oct 4, 2010.

 1. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2010
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  watu wakikupigia wasikie nyimbo za chadema kwenye simu yako fuatilia hapa

  1. Tigo nenda kwenye sehemu ya kuandika sms andika 12608 au 12609 au 12610 tuma kwenda 15007 au 15050

  2.voda nenda kwenye sehemu ya kuandika sms andika buy 771 au buy 772 tuma kwenda 15577

  3.zain nenda kwenye sehemu ya kuandika sms andika buy 7141 au buy 7142 au buy 7143 tuma kwenda 15578

   
 2. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2010
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kuchangia mabadiliko TUMA neno CHADEMA kwenda 15710 kwa wateja wa VODACOM,ZAIN NA TIGO....wanakata TZS 350/- tu.
   
 3. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Vakwaviwe; hii ni kweli? Isije ikawa Ukituma ikaja CCM. Please mwenye uhakika zaidi atujuze. Siwezi kujaribu maana ukiingia wimbo wa CCM itakuwa kazi kuutoa. wasije nambia "huwezi kutoka mpaka baada ya siku 7
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mimi niliweka juzi Dr Alipokuja Iringa nikapata ringtone ya chadema unajua wengi waliokuwa wakinipigia wakawa wananiuliza mkuu vipi naona umeamua nkawa nawajibu saaa ya ukombozi ni saa
   
 5. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2010
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  usiwe na wasiwasi...mimi natumia zain na nimeweka wimbo wa kwanza huo...ni mzuri kila mtaka mabadiliko ananiuliza nimeupataje....na hilo ndo jibu lake
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  kweli aiseee
   
 7. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #7
  Oct 11, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Thank you, nimeweka. Ubarikiwe, na mimi naweka sasa hivi
   
Loading...