Maonesho ya kazi za kishirikina

Ivi uchawi wa kimaendeleo pia upo kweli?
Maana mimi nahisi uchawi unapigwa vita kwasababu kwa kiasi kikubwa wachawi wapo kuvuruga mambo na kurudishana nyuma...kwa umri wangu huu leo ukiniambia kuna faida za uchawi nitakuuliza kwanini wachawi wasingekuwa na mafanikio makubwa sana kwa kutumia nguvu zao?
Mkuu; hawajapewa Fursa. Wamebanwa kila kona na wanahasira kali sana kwa kutokutambuliwa na wanadhani kwamba hayo maendeleo yaliyopo sasa sio kitu kwani wangekuwa ni wao wangekuwa mbali zaidi. Kwa mantiki hiyo wanafanya kitu kama ka-Guerrilla war au Sabotage ili wahusika wa-Yield.👮‍♂️💪
 
Ndugu mshana wewe lazima utakuwa mchawi.Kumbuka wachawi wote kwao ni jehanamu ya Moto.Soma Ufunuo 21:8
Ngoja Mshana Jr. ajisemee mwenyewe lakini mm nakuangaliza kuhusu Hicho kitabu.......: soma kwa umakini na utulivu mkubwa na iwe ni between the lines na pia pata Historia yake na jinsi kilivyopata kuwepo, Walengwa walikuwa ni akina nani na Mlolongo wake hadi leo hii kimekufikia ww na unakitumia. Tena linganisha na machapisho mengine ya kitabu hicho-hicho kwa lugha tofauti na kwa Dini nyingine wanaokitumia kitabu hicho. e.g. Biblia ya kwanza iliyoandikwa kwa Kiebrania, ikatafsiriwa kwa Kilatini halafu ikatafsiriwa kwa Kiingereza ndipo ikakufikia ww kwa kiswahili cha zamani na ss kwa Kiswahili cha sasa. Pitia pia na Biblia ya wa-Orthodox/Wayahudi. Kazi yote hiyo ilifanywa na Watu/Binadamu. Je; unatambua/unakubali kwamba hakuna binadamu aliye mkamilifu? Kutokana na jibu lako; itakuwaje kazi alizofanya au anazozifanya? Tusihukumu kwa sheria (a.k.a ku-Quote) vifungu au mistari kwenye Biblia au tena vifungu ambavyo wala si Maagizo/Amri (ref. Amri kumi za Mungu). Samahani lakini kama nimekukwaza.
 
Tusihukumu kwa sheria (a.k.a ku-Quote) vifungu au mistari kwenye Biblia au tena vifungu ambavyo wala si Maagizo/Amri (ref. Amri kumi za Mungu
 
FB_IMG_1634021720953.jpg
 
Mshana kuna mchepuko umezaa na mume wa ndugu yangu na alishawaonya miaka mingi sasa dada yangu amejisikia vibaya kaondoka kwake na hana raha na anadai talaka.

Je yule mwanamke mchepuko alovunja nyumba ampe adhabu gani ya kumpa maumivu na Vilio kama dada yangu anavyopitia?

Halafu unaambiwa mchepuko alihudhuria harusi ya dada yangu wakati anaolewa kanisani na ukumbini.

Umbuje please advise her accordingly.

Chukulia ungekuwa ni wewe ungemfanyaje mchepuko wa hivyo?

Halafu nasikia huo mchepuko una mambo ya kichawi na ushirikina kiasi kwamba hata hali unayo endelea ya kuachana amefanya yeye ili aingie yeye ndani akaishi na huyo Mwanaume.
 
Mshana kuna mchepuko umezaa na mume wa dada yangu na alishawaonya miaka mingi sasa dada yangu amejisikia vibaya kaondoka kwake na hana raha na anadai talaka.

Hapa umbuje kuna mambo mawili matatu ya kufanya
1. Kusamehe na kumuachia Mungu amtetee
2. Kulipa kissing kwa kwenda huko gizani
3. Ku move on na kumsusia mume
 
Sawa @ Umbuje.

Nimekuelewa vizuri.

Nita-share naye kuona atachagua njia yenye kumfaa zaidi.

Mshana kuna mchepuko umezaa na mume wa dada yangu na alishawaonya miaka mingi sasa dada yangu amejisikia vibaya kaondoka kwake na hana raha na anadai talaka.

Je yule mwanamke mchepuko alovunja nyumba ampe adhabu gani ya kumpa maumivu na Vilio kama dada yangu anavyopitia?

Halafu unaambiwa mchepuko alihudhuria harusi ya dada yangu wakati anaolewa kanisani na ukumbini.

Umbuje please advise her accordingly.

Chukulia ungekuwa ni wewe ungemfanyaje mchepuko wa hivyo?

Halafu nasikia huo mchepuko una mambo ya kichawi na ushirikina kiasi kwamba hata hali unayo endelea ya kuachana amefanya yeye ili aingie yeye ndani akaishi na huyo Mwanaume.
Hacha mawazo ya kichawi na kumuona Mshana Jr ndio Mungu wako.

Vita si vyako vita ni vya Mungu ,mwambie Dada yako awe na mahusiano na Mungu na amuombe Mungu amrejeshe mume wake kwake.
 
Back
Top Bottom