Unga wa Majani ya Mlonge

k-bee

JF-Expert Member
Aug 30, 2017
898
979
Wasaalaaam ndugu! Nashida na unga wa majani ya mlonge nitapata wapi nipo Shinyanga kwa sasa.

Nmekunywa madawa sana kwa ajili ya tiba mbalimbali najihisi mwili mzito baaada ya kufuatilia nmepata fununu mlonge unasaidia kuondoa sumu mwilini kwa hiyo nauhitaji kwa ajili ya kazi hiyo
 
Unga unapatikana, ila ukienda maduka ya kisuna huwa wanauza kijiko kimoja ni shilingi 1000, cha kukushauri ni kuwa Fanya namna upate mbegu za mlonge upande(uoteshe) maana ndani ya miezi mitatu tu unaanza kuvuna, katika familia yangu kuna miti miwili ambayo kwangu ni mhimu, wa kwanza ni huu mlonge kwa ajili ya tiba ya malaria na kuondoa sumu mwilini,

Lakini pia kuna mti Fulani ambao huwa nautumia kwa ajili ya kutibu UTI, kwa sasa haya magonjwa ni tatizo kwani mtu hawezi maliza mwezi hajaugua eidha malaria au UTI, hivyo nashauri kwa raia yeyote anayependa afya yake kuwa ni miti hii ili kujiepusha na matumizi ya Mara kwa Mara ya dawa za viwandani.

Mwisho mimi niko mbali toka hapo Shinyanga, ila kama utakwama sana naweza kukuagizia mbegu za mlonge uoteshe, nitakuagizia kupitia magari ya Mwanza lakini pia nikutakie pole kwa shida unayoipata juu ya afya yako na nikutakie pia uponaji wa haraka.
 
Unga unapatikana,ila ukienda maduka ya kisuna huwa wanauza kijiko kimoja ni shilingi 1000,cha kukushauri ni kuwa Fanya namna upate mbegu za mlonge upande(uoteshe) maana ndani ya miezi mitatu tu unaanza kuvuna ,katika familia yangu kuna miti miwili ambayo kwangu ni mhimu,wa kwanza ni huu mlonge kwa ajili ya tiba ya malaria na kuondoa sumu mwilini,

Lakini pia kuna mti Fulani ambao huwa nautumia kwa ajili ya kutibu UTI ,kwa sasa haya magonjwa ni tatizo kwani mtu hawezi maliza mwezi hajaugua eidha malaria au UTI,hivyo nashauri kwa raia yeyote anayependa afya yake kuwa ni miti hii ili kujiepusha na matumizi ya Mara kwa Mara ya dawa za viwandani.

Mwisho mimi Niko mbali toka hapo shinyanga,ila kama utakwama sana naweza kukuagizia mbegu za mlonge uoteshe,nitakuagizia kupitia magari ya mwanza ,lakini pia nikutakie pole kwa shida unayoipata juu ya afya yako na nikutakie pia uponaji wa haraka.
Kwa kumsaidia, wewe chuma hayo majani ya kutosha mfungashie pamoja na mbegu, apokee hayo majani atengeneze huo unga wake apate kutumia huku akiotesha hiyo miti.

Msaidie tafadhali.
 
Naishi Mocambique, hayo majani huku ni mingi mno, tatizo ni jinsi gani naweza kukutumia? Ukiitaji picha ya mti wenyewe hata sasa natoka nje tu na piga picha nakutumia.
 
Niko Dom ninayo miti ya kutosha ya Milonge hapa kwangu na hata Mbegu hadi sasa Nina gunia 1 ambalo nategemea kulikamua mafuta hivi karibuni...

Majani yapo ya kutosha hata debe waweza pata...

Kazi kwako Mkuu !!
Wasaalaaam ndugu! Nashida na unga wa majani ya mlonge nitapata wapi nipo Shinyanga kwa sasa.

Nmekunywa madawa sana kwa ajili ya tiba mbalimbali najihisi mwili mzito baaada ya kufuatilia nmepata fununu mlonge unasaidia kuondoa sumu mwilini kwa hiyo nauhitaji kwa ajili ya kazi hiyo
 
Kama una mtu Dar... aende posta Mpya... jirani na Imalasekeko supermarket....wanauza huo unga pamoja na dawa lishe nyingi tu...kikopo ni tshs 5000.
 
Huu mti upo hapa home......unatukeraa Sanaa unaporomosha Sanaa majaniii...ukiitaji nikutumie.....kwa wale wa Dar delivering ipoo nitakuleteaa mpaka mlangoniii kwa buku 5000.tu
 
Unga unapatikana, ila ukienda maduka ya kisuna huwa wanauza kijiko kimoja ni shilingi 1000, cha kukushauri ni kuwa Fanya namna upate mbegu za mlonge upande(uoteshe) maana ndani ya miezi mitatu tu unaanza kuvuna, katika familia yangu kuna miti miwili ambayo kwangu ni mhimu, wa kwanza ni huu mlonge kwa ajili ya tiba ya malaria na kuondoa sumu mwilini,

Lakini pia kuna mti Fulani ambao huwa nautumia kwa ajili ya kutibu UTI, kwa sasa haya magonjwa ni tatizo kwani mtu hawezi maliza mwezi hajaugua eidha malaria au UTI, hivyo nashauri kwa raia yeyote anayependa afya yake kuwa ni miti hii ili kujiepusha na matumizi ya Mara kwa Mara ya dawa za viwandani.

Mwisho mimi niko mbali toka hapo Shinyanga, ila kama utakwama sana naweza kukuagizia mbegu za mlonge uoteshe, nitakuagizia kupitia magari ya Mwanza lakini pia nikutakie pole kwa shida unayoipata juu ya afya yako na nikutakie pia uponaji wa haraka.
Huu mti wa UTI ni upi mkuu japo picha kama jina itakua ngumu maana kama ulivosema UTI imekua tatizo mkuu
 
Huo mti upo shinyanga na maeneo mengine mengi. Unachotakiwa ni uufahamu. Ukiutafuta utaupata
 
Ukiupata chuma majani yake anika kwenye kivuli mpaka yakauke. Saga utapata unga wake
 
Attachments

  • images (4).jpeg
    images (4).jpeg
    40.1 KB · Views: 33
  • images (3).jpeg
    images (3).jpeg
    43.1 KB · Views: 35
  • images (2).jpeg
    images (2).jpeg
    28.1 KB · Views: 28
  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    28.5 KB · Views: 28
  • images.jpeg
    images.jpeg
    39.4 KB · Views: 34
Unga unapatikana, ila ukienda maduka ya kisuna huwa wanauza kijiko kimoja ni shilingi 1000, cha kukushauri ni kuwa Fanya namna upate mbegu za mlonge upande(uoteshe) maana ndani ya miezi mitatu tu unaanza kuvuna, katika familia yangu kuna miti miwili ambayo kwangu ni mhimu, wa kwanza ni huu mlonge kwa ajili ya tiba ya malaria na kuondoa sumu mwilini,

Lakini pia kuna mti Fulani ambao huwa nautumia kwa ajili ya kutibu UTI, kwa sasa haya magonjwa ni tatizo kwani mtu hawezi maliza mwezi hajaugua eidha malaria au UTI, hivyo nashauri kwa raia yeyote anayependa afya yake kuwa ni miti hii ili kujiepusha na matumizi ya Mara kwa Mara ya dawa za viwandani.

Mwisho mimi niko mbali toka hapo Shinyanga, ila kama utakwama sana naweza kukuagizia mbegu za mlonge uoteshe, nitakuagizia kupitia magari ya Mwanza lakini pia nikutakie pole kwa shida unayoipata juu ya afya yako na nikutakie pia uponaji wa haraka.
Mkuu shukran majani na mbegu za mlonge nimepata ...Je n mti gani unaotibu UTI mana nalo ni janga
 
Back
Top Bottom