Unga wa kwenye bomba la kutolea moshi wa gari una kazi gani?

Majibu hakuna,isipokuwa tunabwabwaja tu
IMG_20201028_142654.jpeg
 
Huu unga huwa unachanganywa na kinyesi cha mnyama flani (naomba nisimtaje hapa) kisha wanachukua mchanganyiko wanauza kilo moja shs laki 8 kwa ajili ya matumizi (naomba nisitaje matumizi)
matumizi tunayajua. kukuza vibamia na kukausha na kufanya ma bwawa yawe angalau ma korongo
 
Me niliambiwa lengo la ule unga ni kusaidia gari kwenye nchi za barid au ambapo kuna snow/ice lisipate shida...... ila kwetu hauna kazi ndo maan unauzwa ukitolewa nasikia hauna shida ila Kazi yake siijui baada ya kutolewa...
 
Kazi yake kwenye gari ni kupunguza joto kwenye mfumo wa kutolea hewa hata wanaoununua wanaenda kuutumia kwa kazi hiyo hiyo. Ukikosekana gari inakosa nguvu
Bado hmna alietoa jibu la kueleweka, kila mtu anaficha
 
Ina umuhimu mkubwa sana kuwepo kwenye mafla ya exhaust...

Husaidi kupunguza hewa au gesi chafu zinazozalishwa na engine...

Hii pia husaidia kupunguza uchavuzi wa mazingira...

Gari likiwa vizuri, kwenye exhaust litatoa mvuke msafi ulio transparent au matone ya maji, hiyo ni kazi ya huo unga, bila huo unga ni moshi mkubwa mweusi na majivu... hupelekea gari kukosa nguvu na hatimae engine kuchoka mapema...



Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom