mavado
JF-Expert Member
- Jun 25, 2014
- 1,153
- 798
Kama wewe ni mmojawapo kati ya watu wanaopenda kwenda kwa waganga kwa ajili ya kutafuta dawa za kuwawezesha kuwaona viumbe wenzetu wachawi wakiwa kwenye harakati zao za kila siku hii inakuhusu,ungana nasi tukujuze usiyoyajua katika baadhi ya dawa hizo.
Kama sote tunavyojua kuwa wachawi hawaonekani wakiwa katika harakati zao za kichawi,lakini zipo dawa za aina nyingi ambazo kuna baadhi ya watu wamekuwa wanatamani kuzipata na kuzitumia kwa ajili ya kuweza kuwaona,kuwakamata,kuwapiga na hatimaye kuwadhalilisha wachawi hao.
Kiukweli dawa hizi zipo za aina nyingi,na mara nyingi unapopewa dawa za aina hiyo huambiwi kuwa inatokana na nini au mti gani!na hii huenda ikawa inachangiwa sana na watu wengi kutopenda kuhoji kila jambo analofanyiwa na mtaalam huyo bali hupokea kila analoambiwa na kulitekeleza.
Katika dawa za namna hii(za kuona wachawi) zimo dawa ambazo si nzuri yaani ni kharamu katika dini na pia ni makosa katika sheria yetu,leo ningependa kuongelea dawa mojawapo kati ya hizo.
UNGA WA FUVU LA KICHWA CHA BINADAMU ALIYEKUFA!
Kuna waganga ambao wao jambo lolote kwao huona ni kawaida hata kama ni jambo zito na lenye dhambi kubwa mbele ya Mwenyez Mungu,na hii hutokana na mioyo yao kukaliwa na kutekwa na mashetani watumishi ambao wanawatumia kwenye kazi hizo kuwa ni makafiri na maafriti hivyo kumuogopa mungu,kumuonea mtu huruma au hata kutii sheria wao mioyo yao hamna mambo hayo.(hawataki kuwa chini ya sheria)zaidi ya ubaya tuu hivyo humlazimisha mtu wao kufanya uchafu wowote na yeye hufanya kwa kuwa ameshatawaliwa na mashetani haya huona kana kwamba ni jambo la kawaida.hapa ndiyo unakuta Maalbino wanauliwa bila makosa na kukatwa viungo,watu wanatiwa uchizi wa kichawi,kuuana kimazingara,na hata kufanywa misukule. Mambo kama haya hutokea sana na wote ni mashuhuda(mungu amlaani kila mwenye kuridhika na uchafu huo duniani na akhera)
WANAVYOFANYA!
Mganga huyu ambaye pia tunamwita mchawi(kwasababu anautumikia uchawi pia) huenda kwenye makaburi,anachagua kaburi mojawapo na kuchimba mpaka aufikie mwili uliozikwa humo
Anachukua fuvu la kichwa la marehemu huyo asiye na hatia na kuondoka nalo,kisha kulisaga hadi apate unga wake
una huo anauhifadhi kwenye kibuyu kilichofungwa shanga rangi nyeusi anakifunika vizuri na kukifukia chini ya ardhi kwa siku 7 kamili bila kuzidisha
Baada ya hapo anaenda anafukua na dawa hiyo haramu ipo tayari sasa kwa ajili ya matumizi!
Wewe unapoenda kwa mganga huyo anachokifanya ni kukupatia dawa hiyo kisha anakwambia ”ujipake juu ya vifuniko vya macho yako na kisha usiku wa manane uamke na ukae njia panda yoyote iliyo karibu na kwako”
Kwa kuwa umeenda kwake ukiwa na shida hiyo utachukua dawa hiyo na kufanya kila ulichoagizwa
Kitakachotokea ni kwamba UTAONA KILA MCHAWI ATAKAYEPITA HAPO HATA AKIWA NI MAMAKO MZAZI WAO HAWATOKUONA,LAKINI HAUTAKIWI KUSHTUKA KWANI UKISHTUKA TUU WAO PIA WATAKUONA NA WATAKUFANYA KITU MBAYA UTAJUTIA MAISHA YAKO YOTE YALIYOBAKI DUNIANI!!!!!
(simaanishi kuwa dawa zote za kuona wachawi zipo hivi laa!ila nakukumbusha unapokwenda huko kutafuta dawa hizo muwe mnauliza kwanza