Unga wa dengu hutumiwa kupikia nini?

Principle girl

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
1,107
1,091
Wapendwa naomba kufahamu unga wa dengu hutumiwa kupikia nini?

========
1622552913478.png

Wadau washauri jinsi ya kutumia

Bagia,

Kachori kwa hapa unatumia viazi unavichemsha vikiiva unavipondaponda kisha unakatia vitunguu maji swaum giligilani ukipenda una chukua ute wa yai au hata yai lenyewe au huo unga wa dengu hapa inategemea pengine umekosa yai ndio utatumia huo unga unawekapembeni unachanganya mchanganyiko wa viazi na vitunguu chumvi usisahau na unatengeneza tonge unalidip kwenye huo ute wa yai au yai lenyewe au uga wa dengu unga usiufanye mwepesi sana kisha unaweka kwenye mafuta yaliyopata moto

Kuna kitu kinaitwa nailoni unachukua viazi mvirigo unavikata slices unachemsha kuepusha mafuta kulika sana ukichemsha huwek maji unaweka chumvi unakua unavipeta peta had vyote uone vimelainika unachukua unga wa dengu unaumix na maji unakua mzito kiasi unavimimina viazi vyako kwenye huo unga wako ulioutayarisha kisha unavichanganya vienee unga vyote huku mafuta yako yakipata moto unaweka vinaiva

Ukiachana na unga wa dengu unaweza kutumia dengu nzima pia kama mboga unaunga kama ufanyavyo maharage lakini uhakikishe moto hauwi mkali sana maana hazikawii kuiva
soma na hii pia sio mbaya
Dengu zao muhimu jamii ya mikunde linalolimwa na kutumiwa duniani kote, hasa nchi za kiafrika na kiasia.Jina la kibotania huitwa cicer arietinum l. Waingereza huita chickpea . Ni chanzo kizuri cha wanga na protini, na protini yake inachukuliwa kuwa ni bora kuliko ya mikunde mingine. Dengu ina kiasi muhimu cha asidi ya amino za msingi kasoro asidi zilizo na salfa “sulphur“ ambazo zinaweza kukamilishwa kwa kuongeza nafaka katika mlo wa kila siku . Kwenye kuna hifadhi ya wanga , ikifuatiwa na nyuzinyuzi za chakula, oligosaccharides na sukari rahisi kama vile glucose na sucrose. Ingawa kunapatikana kiasi kidogo cha mafuta ( lipids) Dengu ina utajiri wa asidi za mafuta zisizodhuru muhimu kwa virutubisho kama vile linoleic na oleic acids. Kwenye punje za Dengu pia kunapatikana madini ya calcium , magnesium , phosphorus, chuma na K.

Dengu ni chanzo kizuri cha vitamin muhimu kama vile riboflavian ( vit B2), niacin ( vit B3), thiamin ( vit B1), Folate na vitamin A (B-Carotene) kama ilivyo mikunde mingine Dengu ina sababu za kuondoa virutubisho visivyofaa ( anti – nutritional factors) kutokana na mbinu mbalimbali za mapishi Dengu zina faida kadhaa kiafya na muunganiko wake na mikunde na nafaka nyingine unaweza kuwa na athari nzuri kwa magonjwa ya binadamu kama vile kisukari aina ya pili ( type 2 diabetes) magonjwa ya mmeng’enyo wa chakula, na baadhi ya saratani, kuondoa udhaifu wa mwili, uchovu na mengineyo, homa, magonjwa ya mfumo wa kupumua na kukojoa, abscesses, husaidia upungufu wa damu mwilini, hurekebisha lehemu ( cholesterol) na mengineyo.

Kwa wale wenye kusumbuliwa na matatizo ya nguvu za uzazi na hawana matatizo ya mzunguko wa damu watumie mara kwa mara, mfumo wa neva , mfumo wa mkojo, homoni na kemikali na utendaji wa viungo vingine ni vizuri wakatumia Dengu mara kwa mara. Wananchi wa nchi za Asia kama India , China ,Japan , Indonesia na nyingine zinatumia sana Dengu, soya, nk. Nchi hizi zina watu wengi duniani kuliko hata ukubwa wa nchi zao. Na utumiaji wa Dengu mara kwa mara kwa watu wenye kisukari hurekebisha kiwango cha sukari kwenye insulin. Watanzania wote tuanze kutumia Dengu mara kwa mara ili kuimarisha nguvu za uzazi kwani sasa hivi vijana wengi wanalalamika kuwa hawana nguvu za uzazi .

Na kadri mgonjwa anapofika na kujieleza, ndivyo tunavyotambua Tatizo analokuwa nalo na anahitaji tiba ipi.
 
Vitumbua, maandazi, kababu, chapat, kachore, janjuu kapilii, sadati, donat, kanjii, sakita
 
Wapendwa naomba kufahamu unga wa dengu hutumiwa kupikia nn?

Dengu sio Chickpeas (Cicer arietinum). Ni Soybeans (Glycine max). Maelezo mengine ni sahihi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom