Acha utaniKama unga ni aghali kwa nini hamli keki?
Hivi tambi zinashibisha?. Mimi naona huwa zinanikinaisha ila nabaki na njaa.
Labda hujui kuzipika, uki mix na minced meat utafurahi mwenyeweHivi tambi zinashibisha?. Mimi naona huwa zinanikinaisha ila nabaki na njaa.
Serikali inaingiaje hapa.Serikali inalima mahindi?Unga kilo ni shilingi 2200 kwa baadhi ya sehemu huku Dar inatarajiwa kufika 3000 tukiingia mwezi wa pili.
Walanguzi ndio wanufaikaji wakubwa na sio wakubwa kwa hiyo serikali isidhani kuwa wakulima ndio wananufaika la hasha wanaokula mema sasa hivi ni walanguzi
Huu mfumuko ni hatari sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali inaingiaje hapa.Serikali inalima mahindi?
Miaka miwili ilopita mahindi yalikua mengi sana na Bei ilikua nzuri na ya kawaida hiyo serikali ikasema mahindi yasivushwe kwenda nje.soko likashuka mahindi yaliuzwa mpaka elfu 20 gunua.imagine umelima heka kwa laki tano umepata magunia yako 15 unauza kwa elfu ishirini.Watanzania walishangilia sana sana kwamba unga umeshuka Bei. Ila hawakujua soko Mara nyingi hutegemea demand and supply
Wakilima wakubwa wa mahindi walizira kulima.hata Mimi sikuthubutu kulima heka nyingi nililima ya kula na watoto Basi na sitegemei kuuza kamwe hata mahindi yapande vipi
Ila serikali yetu tukufu imeelewa kwa Sasa haiingilii tena bei za mazao hasa ya chakula kikiwa kichache utapata kwa ghali kikiwa kingi utapata rahisi.usitake mteremko kwa gharama za mkulima
Huku Namtumbo kilo ni 1400,njoo ununueKuna mahali ilisemwa ukiona bei ghali lima mahindi yako!!!
=====
Kwa mikoa mitano niliyotembelea, kilo ya unga wa mahindi ni 1500 bei juu kabisa.
tambi zina njaa halafu bei, mfano unga kilo tano unanua 6500,je ukinunua tambi bei huyo si unapata 4 zinaisha Siku 3 tofauti na Inga wiki moja na nusuHivi tambi zinashibisha?. Mimi naona huwa zinanikinaisha ila nabaki na njaa.
Wakulima tumeuza kilo Tsh. 700 mwanzo wa msimu. Wateja wengi walikua jirani zetu kina Kenya, Zimbambwe and co.Unga kilo ni shilingi 2200 kwa baadhi ya sehemu huku Dar inatarajiwa kufika 3000 tukiingia mwezi wa pili.
Walanguzi ndio wanufaikaji wakubwa na sio wakubwa kwa hiyo serikali isidhani kuwa wakulima ndio wananufaika la hasha wanaokula mema sasa hivi ni walanguzi
Huu mfumuko ni hatari sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sipendi hata kuziona hizo kitu.Hivi tambi zinashibisha?. Mimi naona huwa zinanikinaisha ila nabaki na njaa.