Unfortunately google play store has stopped working Msaaada!!!

Mr Penal Code

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
823
213
Habarini wakuuu naomba msaaada maaana kila ninapowasha simu yangu ya Android zikipita dk 5 napata ujumbe huu "unfortunately google play store has stopped working" nimejaribu njia tofauti za kusolve tatizo kama ku clear cache na data za kwenye application ya google play store na ku reboot simu lkn still tatizo bado lipo kila nikiwasha simu msaaada kwa hili jamani
 
Tatzo n huo ujumbe au unashndwa kuchukua app kwenye store? au unapata huduma lakn huo ujumbe ndo unakukera?
 
Habarini wakuuu naomba msaaada maaana kila ninapowasha simu yangu ya Android zikipita dk 5 napata ujumbe huu "unfortunately google play store has stopped working" nimejaribu njia tofauti za kusolve tatizo kama ku clear cache na data za kwenye application ya google play store na ku reboot simu lkn still tatizo bado lipo kila nikiwasha simu msaaada kwa hili jamani

kuna some applications ambazo umeinstall ziko incompatible with google play kwa hiyo inashindwa fanya kazi vizuri,fanya factory reset anza upya kabisa,ur problem wil b solved
 
wakuuu nimeifanyia simu Factor Data Reset lakini still nikiwashaaa tuuu simu napata huuu ujumbe tatizo ni nn!!!!
 
Jaibu kwenda kwenye manage app halafu
futa app ulizodownload ili uone

Jaribu kufungua gmail yako kwenye kampyuta
Mimi nilipata ujumbe kila siku kwenye simu
unasema sign in error ukawa kero kwenye screen

Nilipofungua gmail yangu kwenye kompyuta
ikaniambia andika haya maneno ilikudhibitisha
aksunti yako. Kufanya vile tatizo kwisha
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom