David Mataka wa ATCL, ahukumiwa kulipa faini Tsh milioni 8 kwa kulisababishia hasara ya Tsh Bilioni 71 shirika

This is the second time am putting this thread here, mods why pull it down, it is in the public domain, the headline of today's paper. Let people react and discuss on it, freedom!
 
it is in the public domain, kwani wewe haujui, unaishi dunia gani?.,
Una maanisha umeamua kuchagua zipi kuziamini na zipi kutoziamini sio? Kwa kutumia tu utashi wako, huna ushahidi wala huwezi kuthibitisha chochote zaidi ya kusema umesikia, ipo kwenye public domain n.k?

Hata hivyo usijali sana, imani huanza kwa kusikia!
 
I don't argue baselessly, wacha kujitia hamnazo, ata mtoto mdogo anajua ATCL haijawahi kutengeneza faida, stop reasoning like an idiot!., na pia imani iko anchored on a truth sio kwa uvumi, ama kusikia tu what is not there. Zoea ukweli, ata kama inakera.
 
Ume-panic boss
 
Ngoja waende jela tu.. Kuna haja ya kuwa Mkweli ili kukwepa fedheha kama hizi.. kama Shirika linaendeshwa kwa hasara we kama CEO ambae ni Commander in chief unatakiwa uresign mapema sana.. shida zetu zisiwe chanzo cha kushusha thamani za utu wetu.. fairly or unfairly judged he could've prevented this long time ago!!
 
Watakuja kukuambia ndege walinunua cash so making profit is easy, yet there was a pandemic that grounded the airline industry na their fleets havd mostly been used for domestic travels
 
Mtu amehukumiwa jela miaka 200 kwa kusababisha hasara ya shilingi Ml30, ameshindwa kulipa faini ya shilingi Ml52 halafu unakazia hukumu kwamba arejeshe kiasi cha shilingi Ml30. mhusika ana umri wa miaka kama 50+ atawezaje kulipa baada ya miaka 200 ambapo huenda dunia itakuwa imeshatekezwa kwa moto kutokana na dhuluma na dhambi?
 
This is the second time am putting this thread here, mods why pull it down, it is in the public domain, the headline of today's paper. Let people react and discuss on it, freedom!
Some one causing a loss of bilions is sentenced to pay 8m or face a jail term of 5 yrs. Early this year at Musoma disrict court, a school building commetee member who stole materials worth 2m was sentenced to pay 2.45m or face 5 yrs behind bars! In short swindle as much as you can, bribe the chain of bribery and you walk free.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Too bad
 
The governance of institutions are failing because of poor management. Few weeks ago I believe there were some appointments made and some of the appointees I believe are not competent to deliver the tangibles' expected.
 
CCM must be held responsible kwa kukimbilia biashara ya ndege kujaribu kushindana na Kenya, hakuna CEO yeyote ambaye angefanya muujiza ATCL ipate faida, haitatokea hivi karibuni, Magufuli kapiga hewa ngumi! Sasa they are throwing these guys under the bus!

Kama eti pia wali forge a summary of a session, ilibidi kufurahisha mkulu, serikali ilidanganya taifa eti ndege zina tengeneza faida kumbe wapi., since the launch of the white elephant it is merely eating public taxes, mama Samia amegeuza ndege moja kama yake rasmi, passengers are facing delays and missing flights, kuna malalamishi kibao, idiocy on steroids!! Ujinga na upumbavu kuchanganywa.
Wacha upumbavu wewe huyu jamaa anapaswa kufungwa kama miaka 10 alikuwa mwizi pale ATCL! labda una undugu naye kumtetea kumbuka hata uniform za Air hostess alienda kushonesha China! Huyu ndo alituingiza mkenge wa ku-procure ndege ya ATCL kwa mradi wa kisenge sasa hivi deni linakaribia tshs 200 bln na ikashindwa kufanya kazi! Tena hakufuata hata ushauri!
 
Deni ni zaidi ya Tsh. Bil 470.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom