Unene baada ya kujifungua

slayvai

Member
Sep 1, 2011
12
2
tumezoea kuona wanawake wengi baada ya kujifungua wanakuwa km wamefunguliwa kunenepa/kufutuka,ambapo kwa watu km sie wanawake wanene hatuwapendi na pia kama nimeshasababisha siwezi kumwacha kwajili hiyo japo nitaboreka.hivi wadada hamuwezi kumentain miili yenu mbali na kufanya mazoez?
 
Tatizo sio wao, bali utamaduni wetu ambao mara baada ya kujifungua huanza kuwalisha kupindukia tena kwa kuwasimamia, tangu asubuhi hadi usiku utakuta mzazi mara ana bakuli la supu, mara uji wa mafuta, mara mtori, mara viazi mara................hee. Kula ni muhimu kwa ajili ya afya ya mtoto na mama lakini kuwalisha sana ni tatizo kubwa. Nimewaona baadhi yao wamekula supu nyingi yenye mafuta hata wameharisha wakalazwa.
 
Kasumba ya kula sana baada ya kujifungua ili kurudisha nguvu ndio inapelekea haya yote,mbaya zaidi hawafanyi mazoezi hata kidogo.
 
Back
Top Bottom