Je wajua kuwa 2007 manispaa ya kinondoni ilitaka kubomoa jengo la rose garden pub lililoko mikocheni kwa sababu limejengwa katika hifadhi ya barabara lakini mhe john pombe magufuli akiwa waziri wa ardhi 2007 alizuia hatua hiyo lakini hivi sasa yeye ndio kinara wa kutaka wananchi wengine wabomolewe nyumba zao kwa kuwasingizia kuwa wamevamia hifadhi za barabara ilihali wakihamishiwa katika maeno hayo enzi za operesheni vijiji na serikali ya awamu ya kwanza, tena wengine kwa kuchomewa na kubomolewa nyumba zao huko porini walipokuwa wakiishi kwa raha mustarehe. (nipashe februari 23 2007, tanzania daima machi 8 2007).
Je kipi bora kati ya makazi ya familia yaliyoko zaidi ya mita 60 toka katikati ya barabara au klabu cha pombe kilichojengwa mita tano toka katikati ya barabara? Mhe joihn pombe magufuli huu undumilakuwili wa nini wakati ukitambua kuwa wananchi waliokuwa wanavijiji wa vijiji vya kimara,mbezi, kibamba na kiruvia na kwingineko tanzania wanalindwa na vifungu 15 na 16 vya sheria ya ardhi ya vijiji iliyopitishwa kwa kura yako kama mbunge? (tazama kiambatanisho section 15 & 16 of the village land act).
Pia unatambua kuwa hiyo hiyo amri ya kikoloni unayotumia kudai kuwa hifadhi ya barabara ni mita 120 kutoka katikati ya barabara ya morogoro "the higway (width of highwaya rules cap 167) 1967 ilishajifia na kufutwa rasmi na highway act re 2002 na hii pia kufutwa sheria mpya ya barabara namba 13 ya 2007 ukurasa wa 374 na 375 (tazama vimabatanisho road act no 13 2007).
Kwa mujibu wa sheria hiyo iliyotungwa na bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania (sio amri ya kikoloni) hifadhi ya barabara kati ya "stop over kibaha" na mita 60 tu toka katikati ya barabara na sio mita 120 kama ilivyokuwa ikisema amri ya mkoloni (tazama kimabatanisho kifungu cha 29 2 d cha road management and regulations 2009).
Kwanini unawalazimisha mameneja wa tanroad kuchuma dhambi kwa kutumia sheria feki kukandamiza haki za wananchi wanyonge ilihali wewe unawakingi kifua matajiri wenye vilabu vya pombe kwenye hifadhi za barabara. Je huku kukandamiza na kupondaponda haki za wananchi ndio ubingwa wa kufuata sheria/
Land conflict in subsaharan Africa: Development and evictions along the Morogoro highway, Tanzania
Dissertation
Author: Rehema Godfrey Kilonzo
PATA NAKALA YAKO KATIKA KAZI YA MSOMI MTANZANIA UONE MAAJABU HAYO
Land Conflict in Subsaharan Africa: Development and Evictions Along the ... - Rehema Godfrey Kilonzo - Google Books