Salaam
Ukifuatilia siasa za hapa Tanzania unaweza kususa siasa kabisa Kwa maana ni siasa za kinafiki sana.
Wanasiasa wengi wanaishi Kwa uongo na unafiki mkubwa na hawana hata hofu ya Mwenyezi Mungu maishani mwao,
Chadema walipofukuza akina zito wana ccm wakawatetea sana kwamba hakuna demokrasia katika chadema, cuf walipo mvua uanachama propesa lipumba ccm wakampa na ulinzi hadi akafikia kuvunja amri ya kutofanya mikutano yeye akaruhusiwa kufanya ila Kwa maalim ikawa ni nongwa.
Jana Dodoma wamefukuza wanachama wao wanasema hiyo ndio demokrasia na wanaouliza wanaonekana sio wanasiasa wakomavu pamoja na vyama vyao. Wanasiasa kumbukeni yapo maisha nje ya siasa acheni siasa za kinafki maadili na ubinadamu ni muhimu sana achaneni na chuki nyie ccm hii nchi ni ya watanzania wote hakuna mwenye hati miliki ya kuongoza wenzie na wengine kubaki kuwa wa kuongozwa tu
Mods naomba usiunganishe huu Uzi ili kuwa mjadala mpana