Bachelor of Business Information Systems iko vipi?

muu1403

Member
Jun 4, 2016
26
7
Wanajukwaa naombeni ushauri wenu katika hili. Nina mdogo wangu amepata Economics C, Geography C na maths F, Scstudies E, anataka kuomba ( Busness Information System) UDOM.

Nahitaji kufahamu haswa inahusisha kozi zipi na ugumu wake na urahisi wake
 
wana jukwaa naombeni ushauri wenu katika hili.nina mdogo wangu amepata economics'C,geography'C na maths F,scstudies'E..anataka kuomba ( Busness Information System) UDOM.nahitaji kufahamu haswa inahusisha coz zipi na ugumu wake na urahisi wake
kila kozi ni ngumu na kila kozi ni raisi, inategemea na utayari wa msomaji
 
Back
Top Bottom