Under 30 wanaongoza kwa kutoa mimba

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,833
155,780
Wanafunzi wa sekondari, wanachuo na wale walio chini ya umri wa miaka 30 ndio wanaoongoza kwa vitendo vya uchoropoaji wa mimba. Na wengi wao wanagongwa na dokta mtoa mimba kwa kisingizio cha kulainisha njia.
 
Umetoa ngapi? au wewe ndiyo daktari mwenyewe??
 
Wanafunzi wa sekondari, wanachuo na wale walio chini ya umri wa miaka 30 ndio wanaoongoza kwa vitendo vya uchoropoaji wa mimba. Na wengi wao wanagongwa na dokta mtoa mimba kwa kisingizio cha kulainisha njia.

Nomba thibitisho wa hii red.
 
Wanafunzi wa sekondari, wanachuo na wale walio chini ya umri wa miaka 30 ndio wanaoongoza kwa vitendo vya uchoropoaji wa mimba. Na wengi wao wanagongwa na dokta mtoa mimba kwa kisingizio cha kulainisha njia.

Unaongea kama vile mwenye ushahidi wakutosha au niseme walokua karibu yako wengi ndio style zao ukaona wote wana akili chafu kama hizo?
huyo doctor anae wagonga nijamaa yako au mnashirikiana ndio mana ukasema bila source? ebu jipange kwanza halafu ndio utumwagie majamboz usiburuzeeeeeeeeee tu...........
 
Ngoja nikae kimya maana kuna vitu hapa nikivisema naweza na mimi kuanza kuulizwa data au kama mimi ni daktari wakati nimevishuhudia mimi mwenyewe halafu mikela umenikumbusha Marie Stopes
 
Unaongea kama vile mwenye ushahidi wakutosha au niseme walokua karibu yako wengi ndio style zao ukaona wote wana akili chafu kama hizo?
huyo doctor anae wagonga nijamaa yako au mnashirikiana ndio mana ukasema bila source? ebu jipange kwanza halafu ndio utumwagie majamboz usiburuzeeeeeeeeee tu...........

nimeyajua haya baada ya gesti yangu kuibadilisha kuwa zahanati. Nikadhani nimekimbia dhambi kumbe ndio nimeziongeza
 
Wanafunzi wa sekondari, wanachuo na wale walio chini ya umri wa miaka 30 ndio wanaoongoza kwa vitendo vya uchoropoaji wa mimba. Na wengi wao wanagongwa na dokta mtoa mimba kwa kisingizio cha kulainisha njia.[/QUOTE]
hapo kwenye red kuna walakini, na kama doctor anatabia hiyo ujuwe maisha yake ameyaweka rehani kwa 100%
 
Wanafunzi wa sekondari, wanachuo na wale walio chini ya umri wa miaka 30 ndio wanaoongoza kwa vitendo vya uchoropoaji wa mimba. Na wengi wao wanagongwa na dokta mtoa mimba kwa kisingizio cha kulainisha njia.

Taja jinsia yako plse!
 
Back
Top Bottom