Undani wa Anne Makinda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Undani wa Anne Makinda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ebrah, Jun 19, 2011.

 1. e

  ebrah JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 397
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Habari Great thinkers,
  Naomba kama kuna mtu anajua Undani wa Huyu mama kwani mimi amekuwa akiniumiza sana na maamuzi yake amboyo yanapingana na Kiti alicho nacho, napenda kujua yafuatayo kwa anayefaham ili nipate kujuua kundi gani nimuweke:
  1. Ana watoto au mtoto wa kumzaa mwenyewe?
  2. familia yake ipo wapi kwa kiasi kikubwa? Tz au nje ya Tz?
  3. Ana elimuu yenye kiwango gani? na amesomea nini?
  4. Ana uchungu kweli jamani hata kama mwanamke kwa wanawake wenzake ambao wnafiwa na watoto wao wakiwa hawana hatia, tena wanauliwa na serikali, na hawana watu wa kuwatetea, anapotoke mtu wa kuwateteaa anamzuia kana na kuanza kutetea maslahi yya chama
   
 2. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Negative
   
 3. koo

  koo JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ana watoto wawili kila mmoja na baba yake wakwanza anaitwa anet wapili jackson kasoma mzumbe ADCA hana mume amezaa na mume wa m2 huyo jackson
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Najua aliwah sema amesomea UHASIBU.....ILA AMEKULIA KWENYE OFID ZA BUNGE.....ALIYAROPOKA HAYO BAADA YA MSEKWA KUSEMA KUA SPIKA NI VIZUR AKAWA MWANASHERIA
   
 5. A

  ADVOCATE NEWBOL Member

  #5
  Jun 19, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  All that I know is that she is with a diploma in accountancy from the IDM Mzumbe. No wander she has failed miserably to man the Bunge ...
   
 6. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ni CPA holder!
   
 7. Gwota

  Gwota JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ADCA ni advance diploma equivalent to degree sio diploma japo anaidhalilisha mzumbe chuo kizuri ila kimezalisha boya
   
 8. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Hiyo ya CPA sina uhakika maana sijaona jina lake kama list ya registered members NBAA pale lakini zamani alikuwa akifanya kazi kwa mkaguzi wa serikali enzi hizo kabla ya kuingia huko kwenye siasa!
   
 9. Makoye Matale

  Makoye Matale JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 6,480
  Likes Received: 450
  Trophy Points: 180
  Tusidanganyane Advanced Diploma haiwezi kuwa equivalent to degree. Siku Mzumbe kimekuwa University, IDM Mzumbe alumni walishangilia sasa chuo kutoa degree na siyo Advanced Diplomas. Mom arudi MU akachukue angalau PG Diploma ili aboreshe elimu yake.
   
 10. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #10
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,203
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  Safari hii ameombewa na mtume na nabii fulani jijini, na kumtunuku kazawadi ka vijicent Tsh 2mil tu. Kahakikishiwa kiti chake kuvuviwa upako, ndo maana unaona she is more comfident hata kwa masuala negative.

  Aliyetumwa kuvipeleka vijicent vya madam nae kumwahidi mtume kumrejelea mwakani wakati kama huu na majitaa matatu. KWA YESU KUNA RAHA, NJOONI NYOTE MUOMBEWE!! Bila kusahau kutokuja mikono mitupu.
   
 11. e

  ebrah JF-Expert Member

  #11
  Jun 19, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 397
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Duh Kumbe ndo mana ana maamuzi ya namna hii, na kuhusu watoto, hivi kweli wapo Tz, mbona anainagamiza nchi kama vile akifa yeye hana Generation ambayo anaiacha hapa?
   
 12. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  kabla ya hapo miaka ya nyuma ashawahi kuwa sekretary katika kampuni ya chai mufindi
   
 13. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #13
  Jun 19, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu thibitisha kwa maandishi, vinginevyo sheria itachukua mkondo wake.
   
 14. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #14
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Haaaa haaaa! Sheria za JF?
   
 15. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #15
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  GPA please!!!
   
 16. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #16
  Jun 20, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Niligratuate naye na tukawa Associates pamoja! Miaka hiyo wengi wenu humu jamvini mlikuwa hamjazaliwa! Kwa info zaidi nenda NBAA Mhasibu house
   
 17. FiQ

  FiQ JF-Expert Member

  #17
  Jun 20, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  haaah haah Mkuu kweli GPA muhimu!
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  samahani, nilikua natoa kaangalizo kaduchu... sory mkuu
   
 19. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #19
  Jun 20, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu NBAA imehamia Maktaba House siku hizi?
   
 20. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #20
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  CPA holder? watu wanatoka na first class zao mlimani na hawaipati kiurahisi hivyo? yeye aliipataje ama ndo kama hizo CPA za heshima? zipo?

   
Loading...