Unazuia sherehe za Uhuru, unaadhimisha birthday ya CCM

Rais kaenda kufanya kazi! Hapa ni kazi tuu! Uhuru ilikuwa kusafisha mazingira Leo ilikuwa kusafisha account za benk!
 
Wanabodi
Salaam;

Serikali ya awamu ya 5 inajinasibu kubana matumizi na kufuta baadhi ya sherehe za kitaifa kwa lengo hilo la kuzuia matumizi yasiyo ya lazima.

Kichekesho kimeonekana leo baada ya serikali nzima kuhamia singinda kwenye sherehe za birthday ya ccm ya kutimiza miaka 30.

Huko nyuma tulishuhudia sherehe za uhuru zikipigwa kumbo,sherehe za wabunge zikapigwa ban,baadae tbc nayo ikapigwa ban kwa lengo hilo hilo la kubana matumizi. Cha kushangaza Rais na serikali nzima walikuwa kwenye birthday hiyo ya ccm kwa ajili ya kutoa hotuba za mipasho!!

Kweli hii nchi ngumu sana aisee!
Sherehe za CCM hazitumii pesa ya serikali. Wanatumia pesa za chama chao ambazo haziwezi kutumika kwa mambo ya kitaifa. So elewa hilo,
 
Wakati mwingine ni vyema ukafikiri na kutafakari kwa makini kitu unachotaka kuandika kabla kuandika. Rais amefuta sherehe ya Uhuru ambayo ni sherehe ya kitaifa kwa lengo la kubana matumizi ili fedha hizo zilizotengwa kwa ajili ya sherehe ziweze kutumika katika shughuli nyingine za msingi za kujenga Taifa letu.

Lakini hajafuta sherehe za CCM na wala hawezi kuzifuta kwa sababu kwanza sio sherehe za kitaifa, pili fedha zinazotumika kufanya sherehe hizo hazitoki serikalini bali zinatoka kwenye mfuko wa chama na tatu yeye sio kiongozi wa chama hicho hivyo hana mamlaka ya kuzuia sherehe za chama hicho.
 
Turudi nyuma kidogo.
Sherehe za uhuru ni shilingi ngapi?
Sherehe za CCM ni shilingi ngapi ?
 
Maguf
Tatizo kuu la Nchi yetu kwa sasa ni upeo mdogo wa Watu wetu kama huyu mleta mada! Mtu mzima hataki kushughulisha akili (kama anayo)! CHADEMA na hii "Mizwazwa" ni mzigo kwa Taifa! Mtu hajui hata tofauti kati ya shughuli za Chama na Serikali! Mwisho itasema Rais Magufuli kazuia harusi za watu binafsi ili kubana matumizi ya Serikali! Haya ndo huandaa maandamano kwenda Ikulu kwa Rais ili kuona TV live! Michovu kila mahali!
Magufuli alikwenda singida na gari la chama au la serikali??
 
muanzisha uzi, mtendee haki mama yako na baba yako! hawakukuzaa zuzu ila chuki zako ndio zinakupofusha

you mean unasema kuwa chadema, ACT, nccr, tadea, chaumma wakitaka kufanya sherehe zao magufuli aingilie??

sherehe za ccm sio za kitaifa, sherehe ya uhuru ni ya kitaifa

sherehe ya ccm ni ya kichama, ya uhuru ni ya serikali

acha upuuzi
Nadhani hizi Rais hatahudhuria na akihudhuria hii itakuwa kama komedi ya mr bean
 
Wanabodi
Salaam;

Serikali ya awamu ya 5 inajinasibu kubana matumizi na kufuta baadhi ya sherehe za kitaifa kwa lengo hilo la kuzuia matumizi yasiyo ya lazima.

Kichekesho kimeonekana leo baada ya serikali nzima kuhamia singinda kwenye sherehe za birthday ya ccm ya kutimiza miaka 30.

Huko nyuma tulishuhudia sherehe za uhuru zikipigwa kumbo,sherehe za wabunge zikapigwa ban,baadae tbc nayo ikapigwa ban kwa lengo hilo hilo la kubana matumizi. Cha kushangaza Rais na serikali nzima walikuwa kwenye birthday hiyo ya ccm kwa ajili ya kutoa hotuba za mipasho!!

Kwani Magufuli (PhD) ni mkuu wa CCM. Chambua kwanza hoja yako ndipo uilete humu, siyo kila kitu kubisha tu. Rais alizuaia sherehe za UHURU kwa kuwa ana mamlaka nazo, lakini kwa sherehe za CCM Rais hana mamlaka nazo kabisa labda apewe uenyekiti wa Chama, na hoja hiyo aiwasilishe kwenye CC na baadaye NEC. nmaml j

Kweli hii nchi ngumu sana aisee!
 
Tupe
Sherehe ya ccm haitumii hela za serikali.
Hakuna fungu lililotengwa na serikali kwa ajili ya birthday ya ccm

Ccm wanatumia hela zao
Tupe mchanganuo wa mapato ya chama yanayotokana na michango ya wanachama na mapato yanayotokana na ruzuku
 
Wakati mwingine ni vyema ukafikiri na kutafakari kwa makini kitu unachotaka kuandika kabla kuandika. Rais amefuta sherehe ya Uhuru ambayo ni sherehe ya kitaifa kwa lengo la kubana matumizi ili fedha hizo zilizotengwa kwa ajili ya sherehe ziweze kutumika katika shughuli nyingine za msingi za kujenga Taifa letu.

Lakini hajafuta sherehe za CCM na wala hawezi kuzifuta kwa sababu kwanza sio sherehe za kitaifa, pili fedha zinazotumika kufanya sherehe hizo hazitoki serikalini bali zinatoka kwenye mfuko wa chama na tatu yeye sio kiongozi wa chama hicho hivyo hana mamlaka ya kuzuia sherehe za chama hicho.
Tatizo hizo sherehe zinagaramiwa na pesa za wananchi wote kama ilivyo za siku ya uhuru
 
Magari Ni ya serkali kwa sababu wao Ni viongozi wakubwa wa serilali, rais akienda kwenye birthday ya mpwa wa shemeji yake bado atatumia gari ya serilali. Ile ilikuwa sherehe ya CCM, mwenye mamlaka hayo Ni mwenyekiti wa CCM, rais alikaribishwa tu.
Utaratibu wa kutumia mali za umma kwa shughuli za vyama ni wa ajabu sana. Ndiyo maana sishangai mawaziri na viongozi waandamizi wa serikali kutumia mali za umma kwa shughuli zao binafsi. Hili limehalalishwa na serikali za CCM. Na kufanywa kama jambo lililo sawa kabisa. Ndiyo maana umeweza kuona sawa kwa viongozi lukuki kutumia mali na fedha za umma kuhudhuria sherehe za chama.

Kama sababu ya Rais kutofanya sherehe wakati wa Uhuru ilikuwa na kuepusha matumizi mabovu, basi angeshukuru kwa mualiko na kusema haoni haja ya kwenda, kwani safari ya Rais tena kwa barabara inagharimu fedha nyingi za umma. Alternatively, angeweza kubaki Dar, na kuhutubia hadhara ya kwenye sherehe kwa njia ya video. Angetumia utaratibu wa video conferencing, angeokoa fedha nyingi za umma. Yeye ni Rais, ingawa ni mwana CCM pia, lakini mualiko haumfungi yeye kuhudhuria kwa ulazima, kama kweli ana dhamira ya dhati juu ya uepushaji wa matumizi yasiyo ya lazima.
 
hi
Sherehe za CCM hazitumii pesa ya serikali. Wanatumia pesa za chama chao ambazo haziwezi kutumika kwa mambo ya kitaifa. So elewa hilo,
ki ni chama dola,kinapaswa kiunge mkono maamuzi ya mtu wao. Ama utuaminishe kubana matumizi ccm hakitaki.
 
wewe mleta maada ni ku**ma no 1. unafikiria kwa kutumia akili au makamasi ya kondoo? hivi JPM ni m/kiti wa ccm? ulitaka apige marufuku wakati bado hajakabidhiwa uenyekiti?
Angeweza kushauri kama Rais. Ingawa siyo kiongozi wa chama, lakini kwa kuwa mwanachama aliye mkuu wa nchi kunampa ushawishi mkubwa ndani ya chama (kinadharia). Hivyo angeweza kumshauri Mwenyekiti, kwamba ni vyema wasifanye sherehe kubwa, bali pesa ambazo zingetumika ziende kusaidia sehemu mbalimbali, hata kusaidia wanaCCM wenyewe kwa namna mbalimbali. Si tunasisitizwa kuchangia maendeleo ya nchi? Basi, Rais kwa ushawishi wake angewashauri CCM wawe mfano: kama walivyotoa madawati 1,000, sasa wangefanya zaidi.
 
Sasa hiyo ruzuku inatumika kwa mambo ya serikali? Au ruzuku wanapewa kwa kuomba kutokana na matumizi yao? Ruzuku ni mgao wa jumla kutokana na wingi wa wabunge na matumizi yake ni maamuzi ya chama husika.
Ruzuku za vyama hazi effects revenue za serika
Siwezi kubishana nawe kasome uchumi utaelewa.ni mjinga na mpumbavu pekee ndo anaweza kumbishia mtoa mada
 
Huyu dictator aspozibitiwa mapema hatufikii mabadiriko tunayoyaitaji. Sikupenda lugha aliyoitumia hati vyama vya 'ovyo ovyo'....kasahau watanzania zaidi ya m6 baada ya wizi wao kupitia tume walipigia vyama hivyo. kwa maana nyingine hao waliopigia kura hivyo vyama nao ovyo ovyo?.....

Ashike adabu yake....Tanzania si ya ccm.Tunamsubilia Zanzibar....
 
H
Wanabodi
Salaam;

Serikali ya awamu ya 5 inajinasibu kubana matumizi na kufuta baadhi ya sherehe za kitaifa kwa lengo hilo la kuzuia matumizi yasiyo ya lazima.

Kichekesho kimeonekana leo baada ya serikali nzima kuhamia singinda kwenye sherehe za birthday ya ccm ya kutimiza miaka 30.

Huko nyuma tulishuhudia sherehe za uhuru zikipigwa kumbo,sherehe za wabunge zikapigwa ban,baadae tbc nayo ikapigwa ban kwa lengo hilo hilo la kubana matumizi. Cha kushangaza Rais na serikali nzima walikuwa kwenye birthday hiyo ya ccm kwa ajili ya kutoa hotuba za mipasho!!

Kweli hii nchi ngumu sana aisee!
hivi ni lazima rais kuhudhuria hizi sherehe? kwani faida yake nini kwa taifa. angemtuma mkuu wa mkoa wa Singida amuwakilishe tu. Yeye angeendelea na majukumu muhimu ya kitaifa.
 
muanzisha uzi, mtendee haki mama yako na baba yako! hawakukuzaa zuzu ila chuki zako ndio zinakupofusha

you mean unasema kuwa chadema, ACT, nccr, tadea, chaumma wakitaka kufanya sherehe zao magufuli aingilie??

sherehe za ccm sio za kitaifa, sherehe ya uhuru ni ya kitaifa

sherehe ya ccm ni ya kichama, ya uhuru ni ya serikali

acha upuuzi
Kumbika viongoz wote wa serekali wanatumia ,fedha za uma magari,walinzi so ni hasara kwa nchi
 
Back
Top Bottom