Hahahahaaa! mkuu ilikuwa noma sana, mbaya zaidi kitu kinapopanda hukisikii unakuja shtuka kitu kimeshafika kifuani.92 - 93 Hiyo unatoroka shule unaingia kitaa kusakata soka, unafunga goli na kuvua t sheti kushangilia unashangaa kitu kimepanda kifuani kama singlendi
Duh! ungechelewa ungestuka kitu kimeshafika shingonimuhenga mwenzangu jamboooo???....hio kitu iliwah kuniletea soo kwenye disco la harusi mtaani,,nacheza na kidem changu kimenikamatia vzr na blues la madonna mara mzigo unapanda taratibu mara dem akasema hiki ni nn umejifunga tumboni??...mzee wa watu nikasepa kimya kimya kwenda nyuma ya nyumba kwenye vichaka flani nikaitoa then nikarudi kucheza,ss na vile nimeitoa nilikua nadindisha hadi dem akanikimbia
Hahahahaaa! mkuu ilikuwa noma sana, mbaya zaidi kitu kinapopanda hukisikii unakuja shtuka kitu kimeshafika kifuani.
hahaaaDuh! ungechelewa ungestuka kitu kimeshafika shingoni
Enzi hizo mkiwa mmekwaruzana na mtu. Akikwambia VIP , unajibu VIP Chupi
92 - 93 Hiyo unatoroka shule unaingia kitaa kusakata soka, unafunga goli na kuvua t sheti kushangilia unashangaa kitu kimepanda kifuani kama singlendi
Zilikuwa zikichakaa zinageuka sidiria...Ni vyupi vililivyokuwa vinatight kinoma, ukiivaa kwa muda mrefu kuna uzi uko kwa chini, baba ule uzi ukikatika! utashtukia kama hujavaa kitu unahisi ubaridi.Sasa wakati unatafakari na kujiuliza VIP ilipokwenda ghafla unashtuka kitu kimepanda hadi kifuani ilikuwa hatari sana. Kwa wale wakongwe ambao mliwahi kuzivaa underwear hizo mnasemaje? na sijui zimepotelea wapi.
Hahahahaaa! Vile vyupi vilikuwa noma mzeeUmenikumbusha mwanangu mmoja ilimkuta kwenye paredi la shule ya msngi, ile mguu pande,mguu sawa, mara kustuka kitu ipo makwapani, tulicheka balaa