Nani anakumbuka chupi za VIP?

Zile AMBAZO ilikuwa ukitembea unadhani imekatika kitenganishi cha paja na paja imepanda Hadi kifuani
 
Zautajiju mnazikumbuka watoto wenu walizivaa sana
Pamoja na zili zilikuwa zina kimfuko kwa mbele
 
Ni vyupi vililivyokuwa vinatight kinoma, ukiivaa kwa muda mrefu kuna uzi uko kwa chini, baba ule uzi ukikatika! utashtukia kama hujavaa kitu unahisi ubaridi.Sasa wakati unatafakari na kujiuliza VIP ilipokwenda ghafla unashtuka kitu kimepanda hadi kifuani ilikuwa hatari sana. Kwa wale wakongwe ambao mliwahi kuzivaa underwear hizo mnasemaje? na sijui zimepotelea wapi.
 
Umenivunja mbavu. Hii kitu ilikuwa inaaibisha sana.
1142201
 
aaah hivi vyupi vya ovyo niliwahi dondosha kende zangu kule segerea nikiwa nimevaa hivi vitu miaka hiyo kwa bahati nzuri kuna mtu aliniona wakati nazidondosha akanistua
 
Ni vyupi vililivyokuwa vinatight kinoma, ukiivaa kwa muda mrefu kuna uzi uko kwa chini, baba ule uzi ukikatika! utashtukia kama hujavaa kitu unahisi ubaridi.Sasa wakati unatafakari na kujiuliza VIP ilipokwenda ghafla unashtuka kitu kimepanda hadi kifuani ilikuwa hatari sana. Kwa wale wakongwe ambao mliwahi kuzivaa underwear hizo mnasemaje? na sijui zimepotelea wapi.
muhenga mwenzangu jamboooo???....hio kitu iliwah kuniletea soo kwenye disco la harusi mtaani,,nacheza na kidem changu kimenikamatia vzr na blues la madonna mara mzigo unapanda taratibu mara dem akasema hiki ni nn umejifunga tumboni??...mzee wa watu nikasepa kimya kimya kwenda nyuma ya nyumba kwenye vichaka flani nikaitoa then nikarudi kucheza,ss na vile nimeitoa nilikua nadindisha hadi dem akanikimbia
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom