Unazikumbuka nyimbo za shule ya msingi (e.i. std i - iii)?

Naapa naahidi mbele ya chama mapinduzi nitakulinda mpaka kufaa.
Wazazi wako wamekufa kimapinduzi
wamekuachia na wewe nafasi hiyooo.
 
Rekebisha kidogo,

Hapo walisema
Chipata na Kamaliza

Nani anakumbuka hii;

" sasa tunawahesabu iyooooo!"
Sasa tunawahesabu
Waliokufa kwa tabu
Bila hatamatibabu
Wengi hawana hesabu
Waliokufa kwa tabu uingerezaaaaa"

Kambona aliagiza iyoooooo!
Kambona aliagiza
Mkipigana mkimaliza
Pindueni mkiweza
Nitawapeni mapesa
Nikirudi safarini uingerereza!

Tom Mboya wa Kenya iyooooo!
Tom Mboya wa Kenya
Ji kiongozi shupavu
Kala risasi ya taya
Maharamia wabaya
Wala hawaoni haya
Kumuua!!!
 
Kuna wimbo wakati wa vita ya Idi Amin uliimbw akila siku redioni inimbw ahivi

Idi Amin Jasusi tena hilo joka kuu
Limefanya uvamizi kuteka ardhi yetu
Hatuna kazi nyingine ni kulifunza adabu
Ndipo litakapojua Tanzania ni ya watu


Hima himaaaaaaaaaaaaa
Tanza............niaaaaa
Hima Himaaaaaaaaaaaa
Tanza.............niaaaaa
Sisi vijana wa chama........
 
Mahokaaaa, hah hah hah hah hah hah hah
Uuh naumbwa mbavu zangu hii hii hii hii hii
Uuh naumbwa mbavu zangu!
Uuh naumbwa mbavu zangu hah hah hah hah hah hah
Ahah
 
kaka kaka musa kaka musa walalaaaaaaaaa walalaaaaaaaaaaaa
amka twende shulex2
ndi ndo ndi
ndi ndo ndi
Daaah haka ka wimbo. Enzi hizo Mama kabla hajaanza kunichapa na mwiko na vifaa vingine vya usafi na upishi.
.
Alikuwa ananiimbia Dada ....dada ... Walala? Walala? Amka twende shule amka twende shule haya njoo haya njoo.
.
 
Back
Top Bottom