Unazijua dalili za uzee wewe...!?

Pancras Suday

JF-Expert Member
Jun 24, 2011
8,143
3,830
Mjukuu alikuwa anamuuliza babu yake
MJUKUU: Babu dalili za uzee ni zipi?
BABU: Kwa kweli mjukuu wangu kuna dalili kuu mbili tu za uzee
MJUKUU: Ni zipi hizo babu?
BABU: Dalili ya kwanza ni kusahau..... (kikafuata kimya kidogo)
MJUKUU: (baada ya kuona babu yake yupo kimya) Babu dalili ya pili ni ipi?
BABU: mh! mjukuu wangu, nimeshaisahau dalili ya pili
 
Dalili ya tatu ukiona unashauriwa na watoto wako jua uzee umeingia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom