Unayependa kumiliki silaha angalia hili tukio kisha jiulize unaweza kuwa mvumilivu?

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,745
21,196
Wikiendi muswano?.

Kuna wadau kadhaa ambao wana nia njema ya kutaka kumiliki siraha za moto na wengine humu jukwaani wameomba tahariri njia gani na nini kinatakiwa ili wawe wamiliki, kama hawa 👇🏾.

Inafahamika baadhi ya nchi za ulaya kama Marekani tena baadhi ya majimbo mwananchi kuwa na AK47 ndani ni jambo la kawaida sana, hiyo ni kutokana na sheria walizojiwekea.

Kuna baadhi hata hizo siraha zenyewe kutumia ni mantanange juu ya matatizo, mfano ni huyu jamaa kwenye hiki kipande cha sinema hapa chini, kwanza hana shabaha pili ametumia risasi zaidi ya kumi kuua watu waliosimama, tatu ametumia silaha aina mbili nzito na nyepesi.

Kwa tukio hili hapa chini, ukija kwetu hapa nani kati yetu anaweza kuwa na roho ya ustahimilivu kwa jirani yake anayemtupia matusi huku wewe ukiwa kimya au kupotezea?.

3 dead in murder-suicide over snow removal dispute, prosecutors say​

Jeffrey Spaide shot and killed his neighbors in Plains Township, Pennsylvania, over a snow removal dispute, prosecutors said.
Feb. 3, 2021, 12:05 PM EST

Prosecutors said a man in Pennsylvania shot and killed a couple in a murder-suicide over a snow removal dispute on Monday, the same day a major winter storm dumped more than 30 inches of snow in parts of the Northeast.

Jeffrey Spaide fatally shot his neighbors, James Goy and his wife, Lisa Goy, before killing himself on Monday morning when officers were called to West Bergh Street in Plains Township, about 15 miles southwest of Scranton, according to the Luzerne County District Attorney’s Office.
Police work the scene of a murder-suicide following a shoveling dispute that left three dead in Plains Township, Pa., on Feb. 1, 2021.

Police work the scene of a murder-suicide following a shoveling dispute that left three dead in Plains Township, Pa., on Feb. 1, 2021.WBRE
District Attorney Stefanie Salavantis said Tuesday that the office determined no other suspects were involved and deemed the incident a murder-suicide. Salavantis said the office will close the case pending a report by the Luzerne County Coroner’s Office.

Shortly before 9 a.m. on Monday, officers responded to a report of shots fired when they found the bodies of the Goys on the street, prosecutors said. Law enforcement officials said they later heard a gun fire from Spaide’s house. Authorities later determined this to be his self-inflicted gunshot wound, according to prosecutors.

Surveillance video revealed that Spaide and the Goys were involved in disputes before the deadly encounter, prosecutors said.

The video shows that the Goys shoveled snow from their parking spots, pushed it across the street and threw it onto Spaide’s property. After Spaide asked the couple to stop throwing snow onto his property, the neighbors got into an argument where they appear to have exchanged obscene gestures and expletives.

Prosecutors said James Goy threatened Spaide and cocked his fist, prompting Spaide to retreat into his home and return outside with a pistol.

While the Goys acknowledged he had a gun, prosecutors said they continued to shout names at him from the middle of the street. Spaide opened fire and shot the Goys before returning to his home to get another gun to deal the killing blow, according to prosecutors.

After killing his neighbors, Spaide went back inside his home where he shot himself as police pulled up to the scene, prosecutors said.
The Luzerne County District Attorney’s Office, the Luzerne County Coroner, Plains Township Police, Plains Township Fire and Ambulance and Pennsylvania State Police Forensic Services Unit were all involved in the investigation.

These three deaths came in addition to four others in the wake of the deadly winter storm that suspended flights, cut electricity, and closed schools and Covid-19 vaccination sites across the Northeast.

In Allentown, Pennsylvania, a 67-year-old woman with Alzheimer’s disease died of hypothermia after wandering away from her home, NBC Philadelphia reported. Her body was found four blocks away on Monday morning.

Recommended​

In Adamstown, Maryland, a 64-year-old man died after a recycling services truck he was riding on the back of overturned on an icy roadway around noon Monday, the Frederick County Sheriff’s Office said.

And two people — a 69-year-old woman and a 42-year-old woman — died in Pennsylvania in separate incidents on Sunday, state police said. The 42-year-old woman died in a crash during the snowstorm in Tioga County, and the other 69-year-old crashed in slick conditions during snow in Bucks County.
 
Wikiendi muswano?.

Kuna wadau kadhaa ambao wana nia njema ya kutaka kumiliki siraha za moto na wengine humu jukwaani wameomba tahariri njia gani na nini kinatakiwa ili wawe wamiliki, kama hawa 👇🏾.

Inafahamika baadhi ya nchi za ulaya kama Marekani tena baadhi ya majimbo mwananchi kuwa na AK47 ndani ni jambo la kawaida sana, hiyo ni kutokana na sheria walizojiwekea.

Kuna baadhi hata hizo siraha zenyewe kutumia ni mantanange juu ya matatizo, mfano ni huyu jamaa kwenye hiki kipande cha sinema hapa chini, kwanza hana shabaha pili ametumia risasi zaidi ya kumi kuua watu waliosimama, tatu ametumia silaha aina mbili nzito na nyepesi.

Kwa tukio hili hapa chini, ukija kwetu hapa nani kati yetu anaweza kuwa na roho ya ustahimilivu kwa jirani yake anayemtupia matusi huku wewe ukiwa kimya au kupotezea?.

View attachment 1696435

Duuuuh inasikitisha aiseee jamaa kaona bastola haitoshi kaja kumaliza na SMG,Tatizo ni nini hasa maana nimeona jamaa na mkewe wanaondoa seluji ili waondoe gari yao.
 
Aisee Jamaa kaamua kuwarudia baada ya kuona ile ya kwanza haitoshi. Inaonekana walikua couple, R.I.P.
 
Cold blooded killer! Nje ya mada, sasa hizi CCTV za aina hii zina msaada gani maanake huwezi kuzitumia kumtambua mhusika?
Kumpata ni rahisi, risasi zina Reg number. Hajakumbuka kutoa maganda. Ni Rahisi sana kumpata. Anastahili adhabu nzito sana huyu.
 
Risasi inatakiwa ukiparaganyue ukiwa kwenye normal condition mpaka upate uwamzi wa kuiungaunga hasira zishapungua kwenye mazingira ya hatari ndio inabidi iwe already.
 
Wikiendi muswano?.

Kuna wadau kadhaa ambao wana nia njema ya kutaka kumiliki siraha za moto na wengine humu jukwaani wameomba tahariri njia gani na nini kinatakiwa ili wawe wamiliki, kama hawa 👇🏾.

Inafahamika baadhi ya nchi za ulaya kama Marekani tena baadhi ya majimbo mwananchi kuwa na AK47 ndani ni jambo la kawaida sana, hiyo ni kutokana na sheria walizojiwekea.

Kuna baadhi hata hizo siraha zenyewe kutumia ni mantanange juu ya matatizo, mfano ni huyu jamaa kwenye hiki kipande cha sinema hapa chini, kwanza hana shabaha pili ametumia risasi zaidi ya kumi kuua watu waliosimama, tatu ametumia silaha aina mbili nzito na nyepesi.

Kwa tukio hili hapa chini, ukija kwetu hapa nani kati yetu anaweza kuwa na roho ya ustahimilivu kwa jirani yake anayemtupia matusi huku wewe ukiwa kimya au kupotezea?.

View attachment 1696435
Aisee jamaa wameuana kisa barafu. Acha tu aisee. Thanks for the video
 
Wikiendi muswano?.

Kuna wadau kadhaa ambao wana nia njema ya kutaka kumiliki siraha za moto na wengine humu jukwaani wameomba tahariri njia gani na nini kinatakiwa ili wawe wamiliki, kama hawa 👇🏾.

Inafahamika baadhi ya nchi za ulaya kama Marekani tena baadhi ya majimbo mwananchi kuwa na AK47 ndani ni jambo la kawaida sana, hiyo ni kutokana na sheria walizojiwekea.

Kuna baadhi hata hizo siraha zenyewe kutumia ni mantanange juu ya matatizo, mfano ni huyu jamaa kwenye hiki kipande cha sinema hapa chini, kwanza hana shabaha pili ametumia risasi zaidi ya kumi kuua watu waliosimama, tatu ametumia silaha aina mbili nzito na nyepesi.

Kwa tukio hili hapa chini, ukija kwetu hapa nani kati yetu anaweza kuwa na roho ya ustahimilivu kwa jirani yake anayemtupia matusi huku wewe ukiwa kimya au kupotezea?.

View attachment 1696435
 
Kumpata ni rahisi, risasi zina Reg number. Hajakumbuka kutoa maganda. Ni Rahisi sana kumpata. Anastahili adhabu nzito sana huyu.
Aisee! Maganda yatasaidia kujua ni bunduki aina gani imetumika na sio rahisi kujua ya nani kwasababu zinauzwa nyinyi kwa watu tofauti. Wapo wanaonunua kihalali wapo wanaonunua kimagendo. Kumpata huyo mtu si rahisi kisa umepata maganda ya risasi ingekuwa hivyo wauaji wengi sana wangepatikana.
 
Back
Top Bottom