Unayehitaji kusoma au kuongeza ujuzi katika fani ya IT hii ni njia nafuu

alphoncetz

JF-Expert Member
May 1, 2011
280
50
Ninazo course nyingi za mafunzo kwa njia ya Video, zinazowezesha kujifunza na kuongeza ujuzi wako katika fani hii

Kozi hizi zimewawezesha wengi kufaulu mitihani yao, pia kuwa na uwezo mkubwa katika shughuli za IT (TEHAMA)

Video zimeandaliwa na wazoefu wa mafunzo ya aina hii duniani kama CBTnuggets, Lynda.com, Online Training na wengineo

Soma PHP, Java, MySQL, Oracle, Cisco, Microsoft SQL, Visual basic, C++, C#, Perl, Linux nk

Zipo Trial videos nyingi unazoweza ku download na kuona zinavyofanya kazi

Tembelea: www.alphonce.net | ICT Video training courses
Email: alphonce@alphonce.net
 
Back
Top Bottom