Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 61,904
- 155,967
Good morning everyone!
Niende moja kwa moja tu kwenye point. Ewe mwanamke unajisikiaje mumeo akikuletea nyumba ndogo sijui niite authorized mchepuko nyumbani kwako unapoishi na huyo mumeo??? Eti Mpike pamoja mle pamoja mgawane majukumu ya kawaida ya nyumba na mengineyo!!
Si hivyo tu mnalala vyumba tofauti ila vinafuatana yani ukitoka mlango wako hatua mbili ni mlango wake na tangu amlete huyo mdogo Kila siku mumeo analala nae. Muda mwingine akirudi kazini mahaba naye anaonesha mbele yako yani kumkumbatia kumkiss na wewe mkubwa ukiwepo!
Muda mwingine mkiwa mmekaa tu mara aseme nimechoka twende tukapumzike anamshika mkono na kumvutia chumbani na wewe ukiwepo tu jamani!!!!!!!
Ewe mwanaume wa jf unaeza fanya hivi kweli???? Ewe mwanamke can you tolerate such a situation??? Nyumba ndogo unaweza kukubali kuishi hapo kwa mwenzio???? Na eti anasisitiza msigombane mpatane eti jamani '!!!!! CAN'T YOU THINK BEYOND REALITY????