Unawezaje kuvumilia hii?

Mahondaw

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
61,690
155,437
Good morning everyone!
Niende moja kwa moja tu kwenye point. Ewe mwanamke unajisikiaje mumeo akikuletea nyumba ndogo sijui niite authorized mchepuko nyumbani kwako unapoishi na huyo mumeo??? Eti Mpike pamoja mle pamoja mgawane majukumu ya kawaida ya nyumba na mengineyo!!

Si hivyo tu mnalala vyumba tofauti ila vinafuatana yani ukitoka mlango wako hatua mbili ni mlango wake na tangu amlete huyo mdogo Kila siku mumeo analala nae. Muda mwingine akirudi kazini mahaba naye anaonesha mbele yako yani kumkumbatia kumkiss na wewe mkubwa ukiwepo!

Muda mwingine mkiwa mmekaa tu mara aseme nimechoka twende tukapumzike anamshika mkono na kumvutia chumbani na wewe ukiwepo tu jamani!!!!!!!

Ewe mwanaume wa jf unaeza fanya hivi kweli???? Ewe mwanamke can you tolerate such a situation??? Nyumba ndogo unaweza kukubali kuishi hapo kwa mwenzio???? Na eti anasisitiza msigombane mpatane eti jamani '!!!!! CAN'T YOU THINK BEYOND REALITY????
 
Wote wagonjwa wa akili hao. Kuanzia mwenye mume, mchepuko na mume mwenye wote wamekufa nafsi na utashi.

Kweli kabisa kwa mwenye akili hawez kubali kuishi pamoja na mwenzie na kumfanyia hivo
 
authorized mchepuko nyumbani kwako


Nashukuru kwa kuutambua kuwa ni authorized mchepuko in short ni mke halali. Ukikaa mjini sana unaweza kufikiri kuwa hawezekani. Lakini ukitoka nje ya mjini ndio utakuta inawezekana sana tena huo mchepuko ndio utakuwa unasaidia bi mkubwa kupika, kuchota maji na huduma zingine na maisha yanasonga kama kawaida.
 
how is it possible nyumba ndogo ikaletwa ndan what i knw mke wa pili ndio anaweza kuish nyumba moja na mke wa kwanza..... kama umeletewa mchepuko na wewe bado unaangalia tu naweza kua na mashaka na majukumu yako kama mke
 
Good morning everyone!
Niende moja kwa moja tu kwenye point. Ewe mwanamke unajisikiaje mumeo akikuletea nyumba ndogo sijui niite authorized mchepuko nyumbani kwako unapoishi nahuyo mumeo??? Eti Mpike pamoja mle pamoja mgawane majukumu ya kawaida ya nyumba namengineyo!!
Si hivo tu mnalala vyumba tofauti ila vinafuatana yani ukitoka mlango wako hatua mbili ni mlango wake na tangu amlete huyo mdogo Kila siku mumeo analala nae. Muda mwingine akirudi kazini mahaba nae anaonesha mbele yako yani kumkumbatia kumkiss nawewe mkubwa ukiwepo! Muda mwingine mkiwa mmekaa tu mara aseme nimechoka twende tukapumzike anamshika mkono na kumvutia chumbani nawewe ukiwepo tu jamani!!!!!!!
Ewe mwanaume wa jf unaeza fanya hivi kweli???? Ewe mwanamke can you tolerate such a situation??? Nyumba ndogo unaweza kukubali kuishi hapo kwa mwenzio???? Na eti anasisitiza msigombane mpatane eti jamani '!!!!! CAN'T YOU THINK BEYOND REALITY????

LABDA NIKUULIZE MASWALI YAFUATAYO, KAMA NI KWELI THEN HAYO UNAYOULIZA HAPO JUU YANAWEZA KUTOKEA:

- JE UNAWEZA MNYIMA MUMEO UNYUMBA ZAIDI YA WEEK MOJA?
- UMAMHUDUMIA MUMEO IPASAVYO AU HOUSE GAL ANAFANYA KILA KITU NA UMEKUWA MKE WA TENDO LA NDOA?
- JE UNAWAHUDUMIA WATOTO PEKE YAKO?
- UKIJA NYUMBANI UNATUMIA MDA GANI JAMII FORUMS/SMART PHONE/FB/INSTAGRAM/ETC/TAMTHILIYA
- UNAFANYA NDOA YAKO INAKUWA HAI?

DADA ZANGU HATA KAMA MMEOLEWA NA MPO WENYEWE ACHENI VIBURI NA KUDANGANYIKA KUACHA MAJUKUMU YENTU, MATOKEO YENU KWA KWELI HATA KAMA MKE MDOGO ATALETWA NYUMBANI ATAKUWEPO TU MAHALI!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom