Unawezaje kurudiana na X wako?

Wasalam

Moja kwa moja kenye mada, Hivi unawezaje kumrudia mtu ambaye mliachana.
Waza kwamba mhusika unaetaka kumrudia kapita na wangapi toka mmeachana.
kama mwanzo hamkuweza kukuza uhusiano wenu ni kipi kinakuwa hakikishia kuwa mkirudiana itawezekana.
Tuseme bado unampenda na yy ndio alikuacha sasa amerudi, unawezaje kuamini kuwa hatokuacha tena

Wenye uzoefu kwenye hili naombeni msaada.

#POLE DEAR X

Tairus.

Kwa kifupi ukisoma saikolojia ya mapenzi mtu anaetaka kurudiana na mpenzi wake wa zamani au amerudisha mapenzi kwa mpenzi wa zamani ujue

1.alichotegemea katika mahusiano mapya Socho anaona bora amrudie Yule wa zamani

2.amekosa mtu wa kufanya replacement hivyo anaona bora nirudi kule kule kwa zamani

3.amegundua mpenzi wake wa zamani ana maisha mazuli hivyo anaona aibu watu watamuonaje

4.Hofu ya kuanza upya Katika mapenzi hapa hivyo kumpata mwingine kama yeye amemkosa anaona bora nibakie hapa hapa

5.mwingine anatafuta njia ya kupona ugojwa wa Sonona
 
Hutaki kurudiana na ex wako ila unsonga mbele na ex wa mwenzako..
Na hapo ukumbuke na we pia ni ex wa mtu

Ubwege zaidi ni kumuacha mpenzi wako kosa kakusaliti au ulimfumania,unaenda kuanza mahusiano mapya na ex wa mwingine ambae nae aliachwa kwa kufumaniwa..atakwambia ukweli?
Big up! Umejaribu kuwaza nje ya box.
 
Kwa kifupi ukisoma saikolojia ya mapenzi mtu anaetaka kurudiana na mpenzi wake wa zamani au amerudisha mapenzi kwa mpenzi wa zamani ujue

1.alichotegemea katika mahusiano mapya Socho anaona bora amrudie Yule wa zamani

2.amekosa mtu wa kufanya replacement hivyo anaona bora nirudi kule kule kwa zamani

3.amegundua mpenzi wake wa zamani ana maisha mazuli hivyo anaona aibu watu watamuonaje

4.Hofu ya kuanza upya Katika mapenzi hapa hivyo kumpata mwingine kama yeye amemkosa anaona bora nibakie hapa hapa

5.mwingine anatafuta njia ya kupona ugojwa wa Sonona
Muda mwingine huwa amejaribu kutafuta kikojoleo kipya na kizuri kuliko cha aliyekuwa mpenzi wake, lakini mwisho wa siku amegundua cha mpenzi wake aliyemuacha kina afadhali kuliko cha hao aliowapata baada yake!!
 
X wangu alikuja kuni propose upya eti! Oo! Turudiane akaweka na maandiko "msamehe mwenzio mara saba usabini" nikasema sawa.

Nilipomuona tu roho ikafanya paaa! Tukafanya kwa ndom!
Baadae nikajua mtu wake alikufa kwa ukimwi. Hivi na mimi alitaka kuniweka kwenye list. Jiazali na x . rudia lkn jiulize km ivo!
 
Ila kiporo kitamu bhuana
 
Wasalam

Moja kwa moja kenye mada, Hivi unawezaje kumrudia mtu ambaye mliachana.
Waza kwamba mhusika unaetaka kumrudia kapita na wangapi toka mmeachana.
kama mwanzo hamkuweza kukuza uhusiano wenu ni kipi kinakuwa hakikishia kuwa mkirudiana itawezekana.
Tuseme bado unampenda na yy ndio alikuacha sasa amerudi, unawezaje kuamini kuwa hatokuacha tena

Wenye uzoefu kwenye hili naombeni msaada.

#POLE DEAR X

Tairus.

Wakenya ndio wanaweza huu utopolo yaani nikiwangalia online tv zao wanaume wa kenya wanavyodhalilika sina hamu kabisa na mnyama yeyote anayeitwa X
 
Back
Top Bottom