Unawezaje kupata Scholarship ya kusoma PhD US au CANADA

Tayari nimeanza mdogo mdogo, natarajia kutuma first paper this month to peer review journal.

Then at the same projects zingine zimeanza.
Publish nyingi uwezavyo, pia utajiongezea nafasi kubwa sana kufanya kazi na mashirika ya kimataifa
 
Hizo nchi zinaushindano mkubwa sana dunia mzima watu wote wanapenda kufanya PhD zao Canada au Us

Omba scholarship nchi za ulaya au German ni free kwa kusoma PhD uwe tu na €10300 kwa ajili ya blocked account
 
Pia unatakiwa ujitathmini kutokana na uwezo wako, hatua ya PhD na kuendelea, ni hatua ya kuandika machapisho(tafiti) na vitabu mbalimbali mara kwa mara ili kuionyesha dunia una ujuzi uliotukuka. Kuna aina mbili za PhD:-
  • PhD hai:- hii ni PhD inayotoa machapisho na vitabu mara kwa mara katika 'platform' za kimataifa, na anaweza kufundisha chuo chochote duniani
  • PhD mfu:- hii ni PhD ya cheti tu, haitoi machapisho wala vitabu, ni ile mtu kurizika tu kuwa ana PhD lakini haifanyi kazi. Anaweza pia asiajirike.
Bila kusahau PhD ya heshima kama ya bwana kasheku msukuma.
 
Back
Top Bottom