Unawezaje kupata kazi ambayo hujaisomea na wala huna ujuzi nayo?

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,689
2,000
Kama mnavyojua ndugu zangu maisha popote lakini pia tunasema maisha ni kutafuta sasa turudi ktk mada yetu msingi kama mnavyojua kwa hali tuliokuwa nayo muda wa kutafuta kazi uliyoisomea umeshapitwa na wakati

Sasa turudini kwenye hoja hoja je unawezaje kupata kazi ambayo hujaiaomea????
 
careenjibebe

JF-Expert Member
May 28, 2020
1,182

Mie nilipomaliza chuo ngaz ya chet nikawa nasubir muda niende diploma siku moja nikaenda sehem kuomba kazi ya kujitolea yoyote tu..nikafanikiwa kupata kaz ya kutafsir habar kutoka kingereza kwenda kiswahil kipindi kile bbc swahili haikuepo.hapo ndiyo ukawa mwanzo wa kufanya kazi ambayo sijaisomea na nimejikuta sasa nimejiajir na kaz hiyohiyo japo sina chet mpaka leo
 
Mr.Junior

JF-Expert Member
Sep 8, 2013
10,485

Connection
 
Bingwa Mara 4

JF-Expert Member
May 4, 2021
961
1,000
Mie nilipomaliza chuo ngaz ya chet nikawa nasubir muda niende diploma siku moja nikaenda sehem kuomba kazi ya kujitolea yoyote tu..nikafanikiwa kupata kaz ya kutafsir habar kutoka kingereza kwenda kiswahil kipindi kile bbc swahili haikuepo.hapo ndiyo ukawa mwanzo wa kufanya kazi ambayo sijaisomea na nimejikuta sasa nimejiajir na kaz hiyohiyo japo sina chet mpaka leo
Hujanijibu pm yangu dada
 
luree

Member
Sep 24, 2015
6
45
Ndio unaweza...cha kufanya uwe unaapply tu hata km hujasomea ila hakikisha una sifa ht moja. mfan mm nlishawah kupata kazi ambayo sijasomea sababu ya kujua kutumia computer..
 
BISECKO

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
634
1,000
Mie nilipomaliza chuo ngaz ya chet nikawa nasubir muda niende diploma siku moja nikaenda sehem kuomba kazi ya kujitolea yoyote tu..nikafanikiwa kupata kaz ya kutafsir habar kutoka kingereza kwenda kiswahil kipindi kile bbc swahili haikuepo.hapo ndiyo ukawa mwanzo wa kufanya kazi ambayo sijaisomea na nimejikuta sasa nimejiajir na kaz hiyohiyo japo sina chet mpaka leo
Nikupongeze kwa uthubutu lakini ulikuwa na kila sababu ya kuwa na cheti, sijui kwanini haukujiendeleza? uliridhika??
 
careenjibebe

JF-Expert Member
May 28, 2020
1,182
2,000
Nikupongeze kwa uthubutu lakini ulikuwa na kila sababu ya kuwa na cheti, sijui kwanini haukujiendeleza? uliridhika??
Sikupata muda lakin pia kusoma siyo chaguo langu kabisa! Chaguo langu ni kutafuta pesa kwa njia ya akili tu ndiyo maana nililazimika kwa nguvu kubwa sana kutafuta mtaji ili nijiajir leo ukiniuliza hata chet changu cha form four cjui kilipo na kazi ya kuulizwa chet nishakataaga zaman sana
 
kizaytor

Member
Nov 7, 2018
25
75
Work hard pays mzee, Me ni land surveyor but nimekutana na watu wengi sanaa ambao hawajasoma kabisa hii course na wanafanya kazi vizur kabisa kwenye sekta hii ya upimaji wa ardhi na tunapendaga kuwaita “vishoka”. Ukiwauliza tuu watakwambia kuwa walianza kuwa wasaidizi kama kubeba vifaa, kupanda beacons na mwishoye akaanza kujifunza kutumia kifaa
 
kizaytor

Member
Nov 7, 2018
25
75
Na a very good example ni kwa wafanyakazi wa viwandani tenaa hivi vya wahindi wengi wao wanafanya kazi zilizo nje ya carrier aliyosomea yeye.
 
Mwanga Mkali

JF-Expert Member
Jul 8, 2018
531
1,000
Kama mnavyojua ndugu zangu maisha popote lakini pia tunasema maisha ni kutafuta sasa turudi ktk mada yetu msingi kama mnavyojua kwa hali tuliokuwa nayo muda wa kutafuta kazi uliyoisomea umeshapitwa na wakati

Sasa turudini kwenye hoja hoja je unawezaje kupata kazi ambayo hujaiaomea????
Uteuzi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom