JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 625
- 938
Mtie moyo mama mjamzito. Shika mkono wake, ongea naye taratibu, muonyeshe jinsi ya kupumua pumzi nzito zinazokwenda polepole.
Msaidie kumgeuza, kutembea, kubadilisha ukaaji, na hata kutoa sauti.
Kila unapokuwa na mjamzito fanya maandalizi yote ya wepesi wa kumfikisha hospitali. Kujifungulia mtoto hospitali ni salama zaidi ya kujifungulia nyumbani.