Unawezaje kumsamehe mwanaume aliyekusaliti kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani mnakoishi?

Mathew 18:21 Kisha Petro akaja kwa Yesu akamwuliza, “Bwana, ndugu yangu anikosee mara ngapi nami niendelee kumsamehe? Hata mara saba?” 22 Yesu akamjibu, “Sikuambii mara saba, bali saba mara sabini.”
Kwa vitu vingine sio hilo lakuleta nyumbani kahaba
 
Unajua nini kaka,, kwako ni kwako tu. Niliporudi the same day niliona mabadiliko hapo nyumbani ambayo yalinipita wasiwasi mkubwa! Yani kulikua na vitu tofauti na nilivyoviacha mimi pia katika kufanya usafi mara nikute cheni . Kuna vyombo vyangu vingine nilikua sivioni. Nguo yangu fulani hivi ( kikoi) pia sikuvikuta sasa kumuuliza hanyooshi maelezo dah..
Mosi hana akili hakuiva kuwa mme
 
Kuna baadhi yetu wanaume ni wapumbavu sana,unapelekaje malaya nyumbani?kabisa unakoishi na mke na watoto unaokota mwanamke unaenda kulala nae humo?na anadhihirisha upumbavu wake kwa kukiri kufanya hayo!

Ni pombe au kitu gani!!!
Tena mpumbafu kumzidi Yuda Iskariyote
 
Evidence zinatosha kabisa nyingine sijazisema tu na mbaya zaidi siku nimefika tu huyo mwanamke siku kama ya 3 alikuja Akanikuta nje ya nyumba napika huku nimevaa shati la bwanaetu niseme . Aliponiona alishtuka sana kaniangaliaaaaa hajasema kitu akaondoka .
Basi hapo ni kwake pia
 
we kama unampenda nendeni mkapime HIV kisha mpe SUKARIiii wee mpeeee atajirudi na kujiona falaaa

hahaaaa ni ngumu kumeza ila 90% ya ME wana mipango/shughuli za kandoo sanaaa na saa zingine wanadai zinawasaidia kutulia kwa ndoa zaooo
 
Msamehe tu maana huyo anaonekana ndio alikua anajifunza
Yan ulisafiri umepata tu story nikubali aisee labda sio mm..nilishakamatwa na condom na Ky mpaka leo nilivikana ndio maneno tu yasiyo na ushahidi
 
Habari za weekend wanajamvi!

Unawezaje kusamehe kirahisi mwanaume aliyecheat tena kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani mnakoishi!! ???!!!

Ni mumeo wa ndoa na mna watoto. Katika harakati za kutafuta pesa ulisafiri kwa muda fulani ndipo alipotumia mwanya huo kufanya aliyofanya.

Uliporudi ukakutana nahizo habari! Na badae mwenyewe kukiri kabisa kufanya kitendo hiko eti hatarudia tena! Inauma sana. Kama wewe utafanyeje hapo!!?? Binafsi sijui hata nifanye nini tangu atubu sijamjibu chochote nipo kimyaa ila naumia sanaaaa!

Pole dear.... Futa kila kitu kuhusu hayo mambo mabovu.... Ongeza kumbukumbu za mambo yote mazuri
 
Back
Top Bottom