Unawezaje kumfanya mpenzi wako awe na Exposure?

Watoto utawafundisha wewe exposure zako hizo nae atawafundisha maadili
majukumu sinikusaidiana? na, je kunamkalifu? Unahisi we Hana anavyokuvumilia? Love is love bro kama unampenda usijivunge OA Itoshe tu kusema Mapungifu yake yanavumilika ✅✅
 
Pamoja mkuu , umesomeka vyema sana .
 
Ile sharp mind ya kawaida ,yaani huyu hata ukikaa nayeukidiscuss hoja shuleini kasahau kila kitu
Kwa hiyo ulitaka muwe mnajadili mambo ya Crebs cycle, how European undeveloped Africa, slave trades, reproduction etc etc mkuu? Mbona hayo mambo in real life ni meaningless and useless mkuu? Mimi nadhani unaweza kumchange kwenye key issues za maisha mfano namna ya uvaaji ili uendane na events, kumsaidia issues za mapishi kama hajui some food, Matumizi ya computer kama huwa unstunza kumbukumbu, Matumizi sahihi ya smartphone, general house keeping maana kuna wengine ni wachafu etc etc
 
Yupo vizuri kwenye matumizi ya Laptop , smartphones nk mkuu .
Nimekuelewa sana.
 
Natamani awe na Sharp mind ile ya kuwaza na Kufikiri
Labda nikukumbushe tu kuwa kuna kitu tunaita Intelligence Quotient (IQ) hii hutofautiana baina ya mtu na MTU haifanani kamwe, mtu hurithi ,ingawa mazingira ya nje (nurture) pia huchangia kwa kiasi kidogo wakati wa ukuaji wa mtoto especially vyakula mtoto anavyolishwa. Kwa hiyo usimlaumu kwa chochote na usimuone kama hafai kwa sababu sio kosa lake.
 
Labda nikukumbushe tu kuwa kuna kitu tunaita Intelligent Quotient (IQ) hii hutofautiana baina ya mtu na MTU haifanani kamwe, mtu hurithi ,ingawa mazingira ya nje (nurture) pia huchangia kwa kiasi kidogo wakati wa ukuaji wa mtoto especially vyakula mtoto anavyolishwa. Kwa hiyo usimlaumu kwa chochote na usimuone kama hafai kwa sababu sio kosa lake.
Hii haiwezi kuja kuwa na effect kwa watoto maana nasikia IQ inarithishwa kutoka kwa Mama ?
 
Hii haiwezi kuja kuwa na effect kwa watoto maana nasikia IQ inarithishwa kutoka kwa Mama ?
Sio kweli kwamba IQ inarithishwa kutoka kwa mama, Bali ni kutoka kwa mama na baba, kwahiyo kama baba IQ yake iko juu na mama iko chini waoane tu kibaya ni pale ambapo wote wangekua na IQ za chini
 
Sio kweli kwamba IQ inarithishwa kutoka kwa mama, Bali ni kutoka kwa mama na baba, kwahiyo kama baba IQ yake iko juu na mama iko chini waoane tu kibaya ni pale ambapo wote wangekua na IQ za chini
Nimekuelewa mkuu . Nahisi huyu wangu mazingira yamechangia kwa kiasi kikubwa sana.
 
Wasalaam JF,

Kuna binti nimetokea kuwa naye kwenye uhusiano miaka miwili sasa. Nampenda jinsi alivyotulia mpole , mstaarabu ,mcha Mungu na asivyo na tamaa hana makuu. Tatizo Academic exposure yake ipo chini sana , sizungumzii ile exposure ya Kidimbwi na Juliana.

Kifupi huyu binti amesoma na kukulia kijijini kwao huko mkoani. Ni mwanamke mchapa kazi sana , Yeye jembe twende kila kitu twende . Ukimkuta kapendeza na kazi anazopiga huwezi kuamini. Sio mwanamke anayependa U'slay queen hata kidogo. Elimu yake ni form four ila kuna short courses flani alisomea. Na mimi Elimu yangu ni Degree.

Nimevutiwa na baadhi ya tabia zake mpaka sasa natamani nimuoe. Ni mtu anayenifanya nijihisi na amani hana yale mapicha picha.
Kwa sasa nimekaa naye kwangu kama mwaka hivi. Hana dalili zote za kunitia mashaka.

Tatizo alilonalo ni mtu mvivu wa kujifunza vitu na exposure ya masuala tu ya kawaida ya kijamii na Shuleni. Yaani mpaka sa nyingine napata tabu! Vitu vingi vya shule vya Academic vingi amesahau mpaka inshanagaza . Imefika hatua nawaza kumuacha nitafute mtu mwingine!!! Ila roho nyingine inaniambia kazana naye.

Je, naweza kumbadilisha vp awe na exposure maana alisoma huko kijijini kwenye shule za kata labda ndo maana ufahamu wake ni mdogo hivi? Naweza vp nikamnoa akili yake?
Ukute huyo mpenzi wako anacheza na akili yako tu ili umuone mjinga kumbe wewe ndio mpumbavu, hakuna mwanamke lofa ata siku moja.
 
Back
Top Bottom