Unawezaje kuishi na mtu ambaye huna hisia naye?

Hii kitu inanitesa sana, binti wa watu mzuri kabisa, hana makuu, mpole, heshima na ana kila sifa ya kuwa wife material,

Tatizo kubwa niko nalo ni kwamba sina hisia naye, sina wivu naye hata kidogo, kuishi naye ni kama nimelazimishwa ni vile tu sina sababu ya kuachana naye, na kuna mengi nimefanya naye hii kitu inafanya iwe vigumu kuchukua maamuzi yeyote.

Wakuu uzi wa kwenu huu ushauri ndio kitu muhimu sana kwa wakati huu.

Je, unawezaje kuishi na mtu ambaye huna hisia naye?

Cc Zero IQ.
😂😂😂Una Bahati Sana shukuru Mungu na utoe sadaka
 
Pepo la uchakataji wa papuchi bado linakuandama. Halitoruhusu uwe hurukuishi na mmoja kwauaminifu.

By the way umewahi kusikia msemo tunavumiliana TU ! Huu msemo ni wa kiungwana na umejaa busara. Hatuishi na watu just because tuna hisia nao za kimapenzi. Dada, binamu, na ndugu wengine tunaishi nao kwa upedo wa kidugu. Hata katika mazingira gani huwezi kuwaza kumtamani.

Kwa msingi huo kama huna sababu ya kumuacha dada huyo usijaribu kumtafutia visa. Ishi nae kama ndugu na rafiki , na kwa uzoefu nilionao akina dada wa namna hiyo huwa hawana makuu. Na ndio really wife material.

Kwa bahati mbaya ukiizoea dhambi ya uzinzi unakua unatamani Kila vilivyondani ya mwanamke anayepita mbele Yako. Unataka hisia ziwe juu ili uoshe rungu na rungu lisivyo na shukrani likioshwa tu linatamani maji na chumbo kingine.

Kifupi ni kuwa hali unayoipitia ni common kwa wanaume wazinzi na hali hiyo kuishinda huwa sio kitu rahisi kama unavyoona mwenyewe. Hii uwafanya victim wa dhambii hii kuendelea kuwa wahuni na ukiwauliza huwa unatafuta Nini kwa kumtaka kila msichana KATU they will never tell you the reason!

Sasa Fanya mambo yafuatayo yanaweza kukusaidia .

Sikufichi unahitaji tomba na utakaso wa nafsi, roho na mwili. Katika hili huna option you must surrender your life to Jesus .

Pili Muombe Mungu akupe roho mtakatifu ili uanze kuichukia dhambi . Bila hivyo mkuu utateseka kweli.

Tatu Fanya maamzi ya kiutu uzima -Tangaza ndoa kwa huyo dada. Afu weka agano na macho yako kuwa atakua mundani wako wa hali zote .

Ukichukua hatua hizo please rudi utupe mrejesho.
 
Hii kitu inanitesa sana, binti wa watu mzuri kabisa, hana makuu, mpole, heshima na ana kila sifa ya kuwa wife material,

Tatizo kubwa niko nalo ni kwamba sina hisia naye, sina wivu naye hata kidogo, kuishi naye ni kama nimelazimishwa ni vile tu sina sababu ya kuachana naye, na kuna mengi nimefanya naye hii kitu inafanya iwe vigumu kuchukua maamuzi yeyote.

Wakuu uzi wa kwenu huu ushauri ndio kitu muhimu sana kwa wakati huu.

Je, unawezaje kuishi na mtu ambaye huna hisia naye?

Cc Zero IQ.
Situation unayopitia ni the same to me! Nimewahi pitia yan Binti alikuwa mchapakazi hatari heshima kwenye jamii ndo usiseme.

Lakin nilijikuta namchukia tu from no where, niliulazimisha moyo kuzidi kumpenda ila wapi. Mwisho wa siku tuliachana kwa simanzi kubwa mno ndugu na jamaa wakanambia " hakika hutapata mwanamke km huyu Tena"

Mimi hata sikujali Hilo ila kiukweli nilibaki huru, mpaka Leo sijuitii uamzi. Ni hatari mno kuishi na mtu ambaye huna hisia nae, utakuwa na mateso ya moyo yasiyotibika.
 
Hii kitu inanitesa sana, binti wa watu mzuri kabisa, hana makuu, mpole, heshima na ana kila sifa ya kuwa wife material,

Tatizo kubwa niko nalo ni kwamba sina hisia naye, sina wivu naye hata kidogo, kuishi naye ni kama nimelazimishwa ni vile tu sina sababu ya kuachana naye, na kuna mengi nimefanya naye hii kitu inafanya iwe vigumu kuchukua maamuzi yeyote.

Wakuu uzi wa kwenu huu ushauri ndio kitu muhimu sana kwa wakati huu.

Je, unawezaje kuishi na mtu ambaye huna hisia naye?

Cc Zero IQ.
Naomba niaze nakusema pole kwa Jambo Hilo unayosababu yakutambua vitu gani vinavopelekea wewe kutokuwa na hisia naye labda kuwa bize kwa mda mrefu kukosa mda wakuwa Nate nakushirikishana Mambo mbalimbali ili uweze kuona manzuri yake kwako na kwake asante
 
Mapenzi au mahisiano yanajumuisha connection kati ya nafsi mbili, connection hii hujumuisha connection zifuatazo:
Connection ya kimwili (phsical connection);
yaani ana sura nzuri umbo ambalo wewe ndo unalipenda (maana hakunaga umbo common kwa binadamu wote wengine wanapenda chura wengine wanapenda vimodo) yaani venye ukimtizama unasema yes bebi langu hilo.
Connection ya kihisia(emotional connection);
Hapa ni kuwa na hisia na mwenza wako mnapokuwako chumbani, yaani mkitaka mkiwashe muda wote mpo on fire, pia mwenzako akiwa na huzuni unajua, akiwa kakasirika unajua kwa sababu hisia zenu zipo connected.
Connection ya kiakili (mental connection);
Hapa akili zinaendana mkipanga mipango inakwenda bila vikwazo.
Connection ya kiroho (sipiritual connection);
Hii ni connection deep sana ambayo huwezi kuipata ghafla tu mnapokutana na mwenza wako bali connection hii mnaipalilia, mnaicultivate mpaka mtakapobalance inaeza chukua miaka na miaka, ni lazima wote muwe commited kuipalilia mmoja akitega mtafeli, ila mkifanikiwa kuconnect hii kitu hata kifo hakiwezi kuwatenganisha.

My Take:
Kuishi na mtu ambaye huna hisia naye eti kwa kujipa moyo mnavumiliana ni uongo. Bila hisia hakuna mapenzi bila mapenzi hakuna muunganiko wowote mtakao ufanikisha zaidi mtakuwa na connection ya kimwili tu. Ukimwangalia unaona figure namba nane, rangi ya mtume ukipita nae mtaani watu wanakubali unachombo ila ndani hisia zero.
Mwisho ni kumcheat naye akucheat muachane tu basi.
 
Hii kitu inanitesa sana, binti wa watu mzuri kabisa, hana makuu, mpole, heshima na ana kila sifa ya kuwa wife material,

Tatizo kubwa niko nalo ni kwamba sina hisia naye, sina wivu naye hata kidogo, kuishi naye ni kama nimelazimishwa ni vile tu sina sababu ya kuachana naye, na kuna mengi nimefanya naye hii kitu inafanya iwe vigumu kuchukua maamuzi yeyote.

Wakuu uzi wa kwenu huu ushauri ndio kitu muhimu sana kwa wakati huu.

Je, unawezaje kuishi na mtu ambaye huna hisia naye?

Cc Zero IQ.
Si mkae mzungumze jinsi ya kuweka chachandu kwenye penzi. Unapenda nini na vipi, nae pia
 
Hii kitu inanitesa sana, binti wa watu mzuri kabisa, hana makuu, mpole, heshima na ana kila sifa ya kuwa wife material,

Tatizo kubwa niko nalo ni kwamba sina hisia naye, sina wivu naye hata kidogo, kuishi naye ni kama nimelazimishwa ni vile tu sina sababu ya kuachana naye, na kuna mengi nimefanya naye hii kitu inafanya iwe vigumu kuchukua maamuzi yeyote.

Wakuu uzi wa kwenu huu ushauri ndio kitu muhimu sana kwa wakati huu.

Je, unawezaje kuishi na mtu ambaye huna hisia naye?

Cc Zero IQ.
Pole sana mkuu.Nitumie Namba zake ili wakulungwa tukusaidie kusolve tatizo hilo.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom