Unawezaje kufanya mapenzi bila kinga na mtu mliyepima mara moja tu?

Masterplan

JF-Expert Member
Dec 10, 2019
209
348
Kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo ,ni hivi najua baadhi ya watu wakisha pima HIV kwa Mara ya kwanza hata hawarudii tena ,siku watakayotaka kufanya mapenzi,.

hata kama ndio mpenzi wako unaye unamuamini kuwa yupo vizuri kiafya na ukiangalia una zaidi ya mwezi,.
Je, unamuamini sana kuwa hajaruka kwingine huko au?.

Kwa ushauri tu tusiaminiane sana kwa sababu yule unayemuamini usikute ndio atakuletea shida.

Tuchukue Tahadhari na tupunguze uzinzi
 
Back
Top Bottom