Unawezaje kuepuka stress na msongo wa mawazo katika mahusiano yako?

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Mahusiano ni kama sanaa kuna wakati mahusiano yanaweza kukupa stress na msongo wa mawazo kiasi kwamba ukajutia kwanini umeingia katika mahusiano huyo mwanamke au mwanaume maana kuna time unaona kabisa what you Give is diffrent from what you receive hali hukupelekea kuwa na stress na mambo mengine.

Hebu Leo hii tupeane mbinu za kuepuka stress na msongo wa mawazo
 
Kumbe na wewe muhanga,.me nilijua unawaletea vijana wenzio mbinu maana wamezidi kulialia sana humu...
 
Ukienda kisimani beba ndoo na kidumu, ndoo ikianguka unapata maji kwenye kidumu hata ya kujiosha miguu.
 
we mpende
mvumilie
kuwa mjinga
utawapanga kuliko wanavyofikiria
 
Back
Top Bottom