Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,802
Kama mnavyojua swala la mimba na binti kupata ujauzito akiwa nyumbani huwa kuna changamoto nyingi sana binti anaweza kupitia kutoka kwa wazazi wake na mwanaume anaweza akazipitia japo sio sana
Kama mnavyojua hakuna mzazi anayependa kumuona binti yake akipata ujauzito au mimba akiwa bado hajaolewa na mwanaume aliyempa mimba hajulikani kwao
Hivyo basi naombeni ushauli jinsi Gani ya kujipanga ili kuepuka changamoto zinazoweza kujitokeza maana soon naweka mimba ili kuweka ngome mchumba asije kupeperuka au akaona nampotezea muda