Unawezaje kudeal wa karibu wenye maneno ya kukukatisha tamaa katika Safari ya maisha

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
Sio kila mtu huwa anapenda kukuona ukivuka hatua moja kwenda hatua haswa Ndugu zetu wa karibu kama vile akina Baba Mkubwaa, wajomba akina Bamdogo, mashangazi n. K

Unapokuwa unataka kufanya jambo ambalo unaona linaweza kukuvusha hatua moja kwenda wao huja na maneno ya kukukatisha tamaa na kitu unachotaka kukifanya wao wanaona ni useless unapoteza tuu muda wako hivyo huja na maneno ya kukuvunja ionekane unachofanya hakina thamani

Je unawezaje kudeal na watu kama hawa ambao hata hawajawahi kuku Support kwa jambo lolote kuhusu maisha ili uweze kusogea
 
Mtegemee Mungu Na pia Sikila jambo unalotaka kufanya basi ni lazima uwambie watu ukiona kuna ulazima sana basi chagua wale watu wako wa karibu sana unaowaamini uwaeleze. Binadamu tunatabia yakukwamishana sana ni wachache watakao furahia mafanikio yako.
 
Ebu endelea kuwaombea ili waishi mwaka nyingi, ili unapo fanikiwa wajionee kwa macho kabla hawajakufa...😎
 
Nilitukanwa na ndugu yangu mpaka nikalalia
Alifika mbali na kuniambia nimesoma shule ilinisaodia nn??? Fikiria mtu aliyeishia std7 anachallenge shule yako tena uliyeitolea jasho na mapito mbalimbali KISA huna gari.
Aisee inaumiza sana
 
Sio kila mtu huwa anapenda kukuona ukivuka hatua moja kwenda hatua haswa Ndugu zetu wa karibu kama vile akina Baba Mkubwaa, wajomba akina Bamdogo, mashangazi n. K

Unapokuwa unataka kufanya jambo ambalo unaona linaweza kukuvusha hatua moja kwenda wao huja na maneno ya kukukatisha tamaa na kitu unachotaka kukifanya wao wanaona ni useless unapoteza tuu muda wako hivyo huja na maneno ya kukuvunja ionekane unachofanya hakina thamani

Je unawezaje kudeal na watu kama hawa ambao hata hawajawahi kuku Support kwa jambo lolote kuhusu maisha ili uweze kusogea
Wanajua aje mipango yako?
 
Back
Top Bottom