Unawezaje kuangalia selection ulizofanya kwa wale wa diploma to degree?.

KALINZI NYUMBANI

JF-Expert Member
Jan 7, 2015
1,641
1,131
Wakuu naomba msaada kidogo unawezaje kuangallia selection ulizofanya kwa wale walio apply through nacte.Kwa wale form six kuna sehemu imeandikwa VIEW SELECTION je kwa diploma unabonyeza wapi kuiona.
 
Diploma selection bado
Kutoka diploma kwenda degree.Ukiingia kwenye profile yako hakuna sehemu imeandika "view selection" kama kwenye profile za form 6 .Au kwa maana nyingine ukitaka badili course mojawapo uliyochagua unaingia wapi?.
 
Unaenda kwenye profile zen utafanya marekebsho kwenye program ulizochagua kutokana na chuo ulichochagua pia
 
Unaenda kwenye profile zen utafanya marekebsho kwenye program ulizochagua kutokana na chuo ulichochagua pia
Mkuu kuna mtu alifanyiwa aplication sasa alitaka afanye marekebisho kias kuwa ukiingia kwenye profile huoni sehemu ya kuedit wala kubadili.
 
Duuuh m narudi kijiji kwanza kuvuna maana huku town nimesubiri hzo selection naona ni magumash tuu, lkn huko nnako enda hamna umeme diwani tu ndo mwenye smartphone, nacte mkitoa mtutumie barua
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom