Unawezaje ku-save fedha za kujikimu zikusaidie baada ya kuhitimu

Wa kupuuzwa

Member
Oct 2, 2020
94
63
Habari za wakati huu,

Kwanza kabisa nikiwa Kama mTanzania naungana na waTanzania popote walipo ndani na nje ya kuomboleza kifo cha Hayati J. P Magufuli!

Niende Moja kwa Moja kwenye Mada

Kama tunavyojua bodi ya mikopo. Imekuwa ikitoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya kujikimu katika maisha yao yote watakaokuwepo vyuoni.

Kuna perceptions kuwa hela za Bodi hazi-sevuki na wengine wanaenda mbali zaidi wanasema fedha ni za mashetani yaani laki tano ya UDOM, UDSM, St Augustine, ARU, Mzumbe n.k ni tofauti kabisa na laki tano ya mtaani.

Wengine wanasema kuwa fedha zinase-vuka its depends na lifestyle ya mtu mwenyewe.

Let's share the experience, is that possible or not? If yes How did you guys manage to do that so?
Kwa maisha ya Dar, Mwanza, Moro, Dodoma n.k

Note! I was admitted UDSM in 2019 Bachelor of laws (LLB) unfortunately I didn't attend, so I have no Idea with UNIVERSITIES LIFE STYLE
 
Kwanini ulikuwa admitted chuo na hukwenda. Nilikuwa na mawazo ya kutoenda chuo mwaka huo ila nikashawishiwa kuja.

Hela ya boom huwa siiweki savings, ikija natumia na nazungusha kwingine na uko inayopatikana ndio natumia. Sikuwa na ratiba ya savings ila naona nina gundu kwenye kila ninachofanya kuanzia miezi kama 8 iliyopita.

So far nimepunguza matumizi, nilikuwa natumia hela sana. Savings afu hela haizai naona ni kazi sana kwangu. Semester hii nina hasara ya laki 8, siku nikiotea wapi kuna hela patanikoma. Nimefunga jana niko na harakati flani sijui natoboa au nakula za uso. Rafiki yangu ananiambia siku zote bora uchome hela kwenye investment utapata experience kuliko uipoteze kula bata.

Mimi savings bado nasita. Kwa mfano nasave ili iweje, si ili nizalishe badae? Kwa nini nisianze leo.
 
Anhaa sawa, sikuenda chuo kwa sababu ya matatizo ya kiafya,

So unaitumia kuizungusha katika biashara zako? So hii kitu inawezekana sio? Upo mkoa gani(chuo) Gharama za maisha hapo hazikuathiri chochote???
 
Anhaa sawa, sikuenda chuo kwa sababu ya matatizo ya kiafya,,,,,

So unaitumia kuizungusha katika biashara zako? So hii kitu inawezekana sio? Upo mkoa gani(chuo) Gharama za maisha hapo hazikuathiri chochote???
Gharama za maisha nimezipunguza mwenyewe nimeacha kujiendekeza. Kwanza nimebadili lifestyle na kuwa na mambo machache ya kuzingatia, ila siishi kwa shida. Hata hivo kwetu ni middle income hivo siwezi toa case study nzuri kwa hili.

Biashara nilifanya after form 6 sijaja chuo bilabila. Kwa hiyo biashara haikutegemea sana boom ila boost tu. Naweza pata boom leo nikalitumia baada ya miezi miwili
 
Ina sevika vizuri, tafuta washkaji wanne wanaojielewa, kila boom mnamchangia mmoja wenu kama ni laki tatu ok mbili kwa matumizi mpaka unamaliza utakuwa na mtaji wa kutosha hata kununua bajaji after chuo maisha rasmi yanaanza

Ukipuuza utakuja kukumbuka hiki kitu, punguza matumizi yasiyo ya lazima

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 
𝖬𝗂𝗆𝗂 π—Œπ—‚π—„π—Žπ—π–Ί 𝗇𝖺 π–Όπ—π—ˆπ–Όπ—π—ˆπ—π–Ύ π—„π—Žπ—π—ˆπ—„π–Ί π—…π—ˆπ–Ίπ—‡ π–»π—ˆπ–Ίπ—‹π–½, 𝗂𝗅𝖺 π—„π—‚π–½π—ˆπ—€π—ˆ π—‡π—‚π—…π—‚π–Όπ—π—ˆ π—„π—Žπ—π–Ί 𝗇𝖺𝗉𝖾𝗐𝖺 𝗇𝖺 𝗐𝖺𝗓𝖺𝗓𝗂 π—‡π—‚π—…π—‚π—π–Ίπ—„π—‚π—„π—‚π—Œπ—π–Ί 𝗄𝗂𝗅𝖺 π—Œπ—‚π—„π—Ž 𝗇𝖺 π—Œπ–Ίπ—π–Ύ 2000/=
 
So far nimepunguza matumizi, nilikuwa natumia hela sana. Savings afu hela haizai naona ni kazi sana kwangu. Semester hii nina hasara ya laki 8, siku nikiotea wapi kuna hela patanikoma.
Unao mtaji kiasi gani
 
Kusema ukweli laki tano ya bodi kui-save huwa inakua changomoto sana na hii inatokana na gharama za maisha kwenye eneo husika, asilimia ulizopata za mikopo kwa maana kama ada ni Tshs. Million 1.3 je, kwenye hiyo fedha bodi wanakulipia asilimia ngapi, pamoja na hali halisi ya kimaisha ya nyumbani.

kwa mfano kama wewe sio mtu wa totoz wala bata na ada unalipiwa kuanzia silimia 95 na kuendelea, unapewa na pesa ya field nzuri, pia nyumbani wanakupa supporter mara mojamoja angalau kwenye kodi ya nyumba au hostel kwa semester zote. Basi inakua rahisi sana ku-save ile laki tano na mwisho wa siku utatoka chuo na mtaji mkubwa tu.

Lakini wengi changomoto yetu ni utakuta laki tano ingawa utapokea mara nne, Lkn hela hiyo hiyo ulipe kodi ya nyumba au hostel, umalizie ada kama haulipiwi ada asilimia 100, nyumbani napo wakijua una mkopo basi kila itakua ni mwendo wa kupigiwa simu bila kujua kua wewe haujaajiriwa na zile fedha umepewa kwaajili ya masomo na sio kutunzia familia. Lakini pia kama hauna hela ya field utakuja kukuta pesa yote uliyoi-save itabidi uitumie wakati wa field.

Hizo ndio changamoto kubwa zinazotukabili sisi watoto wa masikini hasa kwenye kui-save hiyo laki tano na siyo kua eti ile ina mashetani.

Mwisho kabisa kama umefanikiwa kupata mkopo shukuru sana MUNGU, kisha nenda chuo kasome pia achana na matumizi yasiyo ya lazima kama vile kula bata na totoz...
 
Kusema ukweli laki tano ya bodi kui-save huwa inakua changomoto sana na hii inatokana na garama za maisha kwenye eneo husika, asilimia ulizopata za mikopo kwa maana kama ada ni Tshs. Million 1.3 je, kwenye hiyo fedha bodi wanakulipia asilimia ngapi, pamoja na hali halisi ya kimaisha ya nyumbani.

.

Sawa mkuu, nilitamani nifahamu uwezekano wa kusave ukiaangalia na asili ya eneo husika mfano kwa life ya Dar na Dodoma kwanza Moro N.k ama ukaaji wa hostel na nje wapi ni afadhali katika kusave??
 
Kusema ukweli laki tano ya bodi kui-save huwa inakua changomoto sana na hii inatokana na garama za maisha kwenye eneo husika, asilimia ulizopata za mikopo kwa maana kama ada ni Tshs. Million 1.3 je, kwenye hiyo fedha bodi wanakulipia asilimia ngapi, pamoja na hali halisi ya kimaisha ya nyumbani.

kwa mfano kama wewe sio mtu wa totoz wala bata na ada unalipiwa kuanzia silimia 95 na kuendelea, unapewa na pesa ya field nzuri, pia nyumbani wanakupa supporter mara mojamoja angalau kwenye kodi ya nyumba au hostel kwa semester zote. Basi inakua rahisi sana ku-save ile laki tano na mwisho wa siku utatoka chuo na mtaji mkubwa tu.

Lakini wengi changomoto yetu ni utakuta laki tano ingawa utapokea mara nne, Lkn hela hiyo hiyo ulipe kodi ya nyumba au hostel, umalizie ada kama haulipiwi ada asilimia 100, nyumbani napo wakijua una mkopo basi kila itakua ni mwendo wa kupigiwa simu bila kujua kua wewe haujaajiriwa na zile fedha umepewa kwaajili ya masomo na sio kutunzia familia. Lakini pia kama hauna hela ya field utakuja kukuta pesa yote uliyoi-save itabidi uitumie wakati wa field.

Hizo ndio changamoto kubwa zinazotukabili sisi watoto wa masikini hasa kwenye kui-save hiyo laki tano na siyo kua eti ile ina mashetani.

Mwisho kabisa kama umefanikiwa kupata mkopo shukuru sana MUNGU, kisha nenda chuo kasome pia achana na matumizi yasiyo ya lazima kama vile kula bata na totoz...
.
Sawa mkuu, vipi na eneo husika ? Hostel na kukaa nje wapi ni afadhali??
 
.

Sawa mkuu,,, nilitamani nifahamu uwezekano wa kusave ukiaangalia na asili ya eneo husika mfano kwa life ya dar na Dodoma kwanza Moro N.k ama ukaaji wa hostel na nje wapi ni afadhali katika kusave??
Kwa experience yangu Moro na Mbeya gharama za maisha ni nafuu ukilinganisha na mikoa kama DSM na Dodoma. Angalau ukipata nafasi ya kusoma Moro au Mbeya unaweza ukawa na opportunities ya kufanya saving maana nina jamaa zangu wapo SUA, MUM na MUST huwa wananipa experience ya maisha kwenye hayo maeneo kwamba angalau kuna unafuu fulani hivi wa maisha japo sio sana.

Dodoma ndiyo sehemu ambayo nina experience nayo kbs maana ndy nilipo soma, maisha ya Dodoma kdg ni expensive hasa kwenye chakula na hela ya pango na ni heri ukachagua vyuo ambavyo fani unayotaka kusomea inapatikana kwenye vyuo ambavyo vinatoa uhuru wa wanafunzi kupanga vyumba mitaani na sio lazima mwanafunzi akae kwenye hostel za chuo mfano chuo cha mipango Dodoma. Kwenye hivi vyuo ni rahisi kupata mwanafunzi nzako then mkafanya sharing ya costs kwa Kuishi kwenye Chumba kimoja, hii pia huwa inasaidia sana kufanya saving..
 
Ina sevika vzr, tafuta washkaji wanne wanaojielewa , kila boom mnamchangia mmoja wenu kama ni laki tatu ok mbili kwa matumizi mpaka unamaliza utakuwa na mtaji wa kutosha ata kununua bajaji after chuo maisha rasmi yanaanza

Ukipuuza utakuja kukumbuka iki kitu punguza matumizi yasiyo ya lazima

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Kuwa serious hata kidogo
 
Saving meals and accommodation(BOOM) kila mtu ana mtazamo wake, amini fikra zako unaweza kufanikiwa au usifanikiwe pia
 
Lak 5i ndio nilipewa kama BOOM Tena kila baada ya miezi miwili sema katikati kuingia mwezi wa pili nilikuwa napigika haswaaaa, unakomunika Sana!!

Now napiga Deiwaka na napewa hiyo hiyo kila baada ya mwezi aseeeh life ni tight haswaa hasa Kama Unapenda beer, Totozi na home kila tukio ni wewe!!! Kusave ni zaidi ya kipaji Mungu nisaidie kwa hili

Haya maisha haya kumamaqe!!!
 
Back
Top Bottom