T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 10,650
- 34,923
Nilikuja na milioni moja ila watoto wazuri wachawi sanaUnao mtaji kihasi gani
Nilikuja na milioni moja ila watoto wazuri wachawi sanaUnao mtaji kihasi gani
Nilikuja na milioni moja ila watoto wazuri wachawi sana
Nilikuja na milioni moja ila watoto wazuri wachawi sana
Ina sevika vzr, tafuta washkaji wanne wanaojielewa , kila boom mnamchangia mmoja wenu kama ni laki tatu ok mbili kwa matumizi mpaka unamaliza utakuwa na mtaji wa kutosha ata kununua bajaji after chuo maisha rasmi yanaanza
Ukipuuza utakuja kukumbuka iki kitu punguza matumizi yasiyo ya lazima
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Achana na maswala ya kuchangia utakuja lia. Kama wewe mwenyewe hujiamini kujitunzia hela zako kwanini umuamini mtu baki mliekutana chuo. Weka fixed account hela au saving account kama sio nyingi. Ukishindwa kula hela ziishe usijichanganye eti umezungusha. Kwanza hapo hamna kesi, huwezi mshtaki mahakama yoyote na ninavyojua huwa mnakubaliana kwa mdomo bila maandishi.Mkuu bajaji ya mil 6? Same how nimekuwa motivated kama hutojali endelea kushusha madini inawezekanaje hio?
We talkakitanguliza neno tuongee.
Bajaj ya milioni 6 used ipo sawa. Unajua ili ufanye saving ya milioni 6 kila boom yako unayopata usitumie hata mia, unaweza hilo?Mkuu bajaji ya mil 6? Same how nimekuwa motivated kama hutojali endelea kushusha madini inawezekanaje hio?
Pole. Japo kwa mwandiko huu ni kama ulikua Admitted BA ArchaeologyHabari za wakati huu,
Kwanza kabisa nikiwa Kama mTanzania naungana na waTanzania popote walipo ndani na nje ya kuomboleza kifo cha Hayati J. P Magufuli!
Niende Moja kwa Moja kwenye Mada
Kama tunavyojua bodi ya mikopo. Imekuwa ikitoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya kujikimu katika maisha yao yote watakaokuwepo vyuoni.
Kuna perceptions kuwa hela za Bodi hazi-sevuki na wengine wanaenda mbali zaidi wanasema fedha ni za mashetani yaani laki tano ya UDOM, UDSM, St Augustine, ARU, Mzumbe n.k ni tofauti kabisa na laki tano ya mtaani.
Wengine wanasema kuwa fedha zinase-vuka its depends na lifestyle ya mtu mwenyewe.
Let's share the experience, is that possible or not? If yes How did you guys manage to do that so?
Kwa maisha ya Dar, Mwanza, Moro, Dodoma n.k
Note! I was admitted UDSM in 2019 Bachelor of laws (LLB) unfortunately I didn't attend, so I have no Idea with UNIVERSITIES LIFE STYLE
Labda kama wazazi wanamsapport life la chuo..ila bila hivyo hii ni ndoto kama ndoto zingine.Fedha za kujikimu zikusaidie baada ya kuhitimu
Check the Rhymes YO!
Check the Rhymes!