Unaweza ukatoa mimba ukiwa na mume wako ndani??? madhara yake ni nini Kisaikolojia?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unaweza ukatoa mimba ukiwa na mume wako ndani??? madhara yake ni nini Kisaikolojia??

Discussion in 'JF Doctor' started by STK ONE, May 5, 2012.

 1. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna kisa kimesimuliwa hivi punde RADIO MARIA kuwa kuna mama mmoja alitoa mimba huku akiwa na mume ndani. Katika kutoa mimbo hiyo hakumshirikisha mumewe. Nimejitahidi kujiuliza maswali mengi sana ni hali gani inaweza kutokea hadi mke akafikia kutoa mimba bila ya kumshirikisha mumewe? Nisaidieni jamani.

  Lakini pia nimepata athari za kisaikolojia ambazo mma analiyetoa mimba anaweza kuzipata....
  1. kujihisi mkosaji (Feelings of Guilty)
  2. kujihisi muuaji (feelings of being a killer)
  3. kukosa amani moyoni (loss of peace)
  4. kupungua kwa kutoa maamuzi (loss of decision making)
  5. Hasira (anger)
  6. Kupoteza Umama (womanhood)
  7. kukosa ari ya kusamehe (lack of forgivingness)
  8. Lack of comfort.


  Akina dada na akina mama please, don't try it at home....mind you that "HAKUNA UTOAJI MIMBA SALAMA", Usalama unatoka wapi wakati unaua???? THINK TWICE.
   
 2. vanilla

  vanilla JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sikuhizi wanaotoa mimba wengi ni wanawake walioolewa.why they do it? sijui kwakweli. ila ni kitendo kibaya sana.
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,619
  Likes Received: 4,604
  Trophy Points: 280
  @STK ONE Kumekuwa na matukio ya utowaji mimba ni mengi haswa miji ya pwani Tanzania ni kwa sababu ya hali ya maisha kuwa ni magumu. Mwenyeezi Mungu awasamehe wazazi wangu na wenye wazazi waliokufa je wewe hebu fikiria mama yako au mama yangu angelitowa mimba yangu au mimba yako je ungelikuwa hapa Jamii forums kwenye jukwaa hili la J.F. Doctor? tuwashukuru sana Wazazi wetu.
   
 4. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  wanatoa mimba za waume zao au mimba wazopata nje ya ndoa?
   
 5. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  nafikiri nyingi ni za nje ya ndoa. Ya ndani ya ndoa utatoaje bila kumshirikisha mwenzako? Hata hivyo ninawaza ya kwamba kunaweza kutokea ndani ya ndoa mkatoa mimba hasa kama bado mna mtoto mdogo na hampendi kubebeshea.
   
 6. Siri Sirini

  Siri Sirini JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hyo inawezekana kwa ushauri wa daktari, kwamba tuna mtoto mchanga na mimba ingine imeingia, me mwenyewe nilitaka kuwa mhanga wa kutoa mimba ndani ya ndoa, na 2likubaliana na mr kuwa nitoe, coz ni operation za uzazi, mana huyu alikuwa ni mtoto we2 wa 3, na nakaa mwaka 1 nalea, wa pili na mtoto, na ilikuwa inanisumbua 2mbo, lkn nikaona ni dhambi, na nilikuwa naota ndoto za ajabu, mana cjawahi kufanya hicho kitendo cha kutoa mimba, asa hv ninaye mtoto 10mthy, na nimefunga kizazi
   
 7. vicent tibaijuka

  vicent tibaijuka JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  fungua hapa uone abort au hasara za abort, then majibu yote utayapata au toa comments. Människorätt för ofödda
  [​IMG]
   
 8. Jenerali QoyoJB

  Jenerali QoyoJB JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 307
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Jibu ni rahisi sana, mama kapata mimba nje ya ndoa hivyo mume hatakubali jibu ni kutoa. Kwanini anafanya ngono nje ya ndoa ugumu wa maisha baba huna kazi wala biashara ya kuleta hela unataka mama akusaidie naye hana kazi wala mtaji wa biashara anauza karanga na mihogo na wanaofanya biashara hiyo wengi ni wafanyabiashara ya ngono, unamtongoza wakati anakumenyea muhogo ukifika bei unampeleka unakotaka kisha unamlipa sasa akirudi home anayo hela na wewe unakubali huhoji kapataje.
   
 9. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #9
  May 8, 2012
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,692
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Jieleze ueleweke. Kama lugha huiwezi kwa nini ung'ang'anie?
   
 10. andishile

  andishile JF-Expert Member

  #10
  May 8, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,430
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  ni kweli!
   
Loading...