Anyisile Obheli
JF-Expert Member
- Dec 13, 2009
- 3,407
- 266
he mkuu ila panga nalo lina sura mbayaHii imenikumbusha utotoni kuna mzee alikuwa mnoko kweli na alikuwa hapendi watoto wacheze karibu na nyumba yake. Sasa sisi ndo ukawa mchezo wetu, tunaenda pale tunapiga makelele yeye akitoka na panga sisi tunatoka nduki ila ule mchezo ulikuwa hatari kweli manake mzee alikuwa anasifika kwa kucharanga watu mapanga ila sisi hatukujali hilo..
Utoto Bana, raha tupu..
nimekucheki na nimekupata Pretanafagilia sana clip zako....u knw tht
dah dogo ka jackie chan......kukulukakala zote kumbe anamtisha kuku! l.o.l
mbavu zangu...