Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,471
- 23,744
Mfano Mwanamke - alikuwa Malaya ....kachakazwa sana ...yaani watu wameosha sana kwake. Sasa inatokea unakuja kuwa naye labda siku ulikuwa na njaa ukala ukakuta naye amekuganda mwishoni anasema muoane. Inawezekana ukaja enjoy life naye? Ashatoa sana mimba mpaka nyingine ilikataa kutoka akazaa mtoto.
Mfano Mwanaume - alikuwa Malaya ameosha sana Rungu... Yaani kwa kila aina ya visima kachovya,kuloweka na kuoshea Rungu. Anafahamika. Hachagui, Habagui atakayemzika Hamjui. Leo hii wewe mdada jamaa anakufuata anasema anataka kukuoa. Ashagawa sana mbegu watoto wa nje wawili watatu na mama zao wanazagaa zagaa tu huko.kawatolesha wanawake mimba mpaka nyingine zilikataa.
Je mnadhani watu kama kama Salvage au Vyuma Chakavu unaweza ukaishi naye kwa Amani kabisa Mtaani? Au Utahama ukaishi naye mbali asipofahamika. Ila je utamwamini kuwa ametulia?