Unaweza oana na Mtu Salvage uka enjoy mapenzi kweli?

TABIA YA MTU NI NGOZI BWASHEEE .

ni ngumu sana kwa mwanamke aliyezoea maisha hayo kwanzaidi ya miaka kadhaa, yakawa sehem ya vinasaba vyake, alafu leo hii Abadilike.

Ni ngumu mnoooooo ....

Huyo labda iwe hivi, Alikua Ivo kwa muda fulan... Akaamua kuachaaaaa, baada ya muda ndo mmekutana na kuoana.

Lkn eti umemkuta kwenye mishishe zake ?? Umebeba?? Umeoa, kwa imani kua atabadilika, baada ya kukuahidi kubadilika????? haahahahahahahahaaha

Dear brazaaa ,utakua unachekesha.
Lakin ukisoma vizuri hii story kuna tatizo jingine na sio hyo tabia ya mwanamke,kuna namna tu,maana inaonekana mwanaume hana maamuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa yangu kaamua kuchukua Changudo lililokuwa linajiuza Kona ya Bwiru (pale Las Vegas) na siku analinunua tulikuwa wote, jamaa akanogewa na mziki wa Kinyiramba akabeba jumla.

Lakini sasa naona mzani wa mapenzi yao ni kama umeelemea upande mmoja, mwanamke anaona hana cha kupoteza, wakipishana kauli kidogo anabeba begi kutishia kuondoka, akiomba hela kama jamaa hana anatishia kurudi kwenye kazi yake......jamaa yangu amekuwa kama vile mtumwa;

Vyombo aoshe yeye
Kufua yeye
Kupika yeye
Zamu ya usafi yeye
Usafi ndani mwao yeye

Mwanamke miguu juu kwenye kochi kutwa nzima anaangalia tv, jamaa akiambiwa lolote na ndg zake kuhusu huyo mwanamke wake analibeba zimazima hadi kwa wife tiiiiiiii.......anamwambia kila kitu, sasa hivi hapatani na ndugu zake wote, kali zaidi anaingizwa mkenge huku tunaona, kaambiwa eti anatakiwa atume hela ya posa sh laki 6 kwa mama yake ..........

Ngoja kwanza niishie hapa lakini yako mengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app

🎶🎶Wajinga ndio waliwao hooo
wajinga ndio waliwao mama
Kekundu kekundu (KEKUNDU )
Kekundu kekundu (KEKUNDU)🎶

Toka lini posa ikatumwa kwenye simu? Ama ndio mila zao zinavyo sema?
 
Sio kwamba nachekesha huo ndio ukweli na uhakika wa jinsi wanavyoishi, jamaa akienda kazini anaacha kodi ya meza lakini akirudi anaambiwa hakuna bajeti ya chakula chake pale, imekuwa mazowea kila hela anayoipata yooooote inafikia kwa mwanamke, unaweza kumuona ana sh laki 3 sasa hivi, akiingia ndani akatoka usishangae anakuomba buku......keshakung'utishwa zote .....

Tulikuwa tunapiga nae tungi na hata siku anamnunua huyo mwanamke tulikuwa tunapiga ulanzi, lakini kwa sababu mwanamke hanywagi kamkataza nae kunywa eti ana majini makorofi sana , mwezi uliopita walipata msiba shangazi yao alifariki lakini akamkataza hakuna kwenda kulala huko msibani utakwenda siku ya kuzika na kurudi, jumamosi iliyopita jumuiya ilikuwa inasali kwake lakini akamkataza hakuna kutoka na yeye akatii.........hakutoka!!!

Niendelee kuwapa visa vyao au niishie hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha endelea kutupa visaa mkuu
 
TABIA YA MTU NI NGOZI BWASHEEE .

ni ngumu sana kwa mwanamke aliyezoea maisha hayo kwanzaidi ya miaka kadhaa, yakawa sehem ya vinasaba vyake, alafu leo hii Abadilike.

Ni ngumu mnoooooo ....

Huyo labda iwe hivi, Alikua Ivo kwa muda fulan... Akaamua kuachaaaaa, baada ya muda ndo mmekutana na kuoana.

Lkn eti umemkuta kwenye mishishe zake ?? Umebeba?? Umeoa, kwa imani kua atabadilika, baada ya kukuahidi kubadilika????? haahahahahahahahaaha

Dear brazaaa ,utakua unachekesha.
Sio kila anaejiuza ni tabia yake aliyozaliwa nayo ama nikitu anachopenda.
Akiamua yeye kubadirika kwa ajiri yako anabadirika ila ww ndio uwezi mbadirisha
 
Wajinga ndio waliwao hooo
wajinga ndio waliwao mama
Kekundu kekundu (KEKUNDU )
Kekundu kekundu (KEKUNDU)

Toka lini posa ikatumwa kwenye simu? Ama ndio mila zao zinavyo sema?
Nilimuuliza hilo swali, na yeye akawa kama kashituka flani hivi, lakini alipolifikisha kwa wife nikaanza kuona action.......mke kaninunia na jamaa hanisemeshi tena, na ameambiwa ahakikishe hilo la posa linakamilika kabla mwezi huu wa 5 haujaisha ikizidi hapo yeye anaondoka, halafu kibaya ni kwamba hajawahi kumfahamu ndugu yyte wa huyo anaemuita mke wake.......

Huyo mama mkwe anaetakiwa kutumiwa hiyo laki 6 ya posa na yeye hamfahamu ilipigwa tu simu akapewa aongeaa akaambiwa mnatakiwa kutoa posa haraka maana wajomba wa mkeo wamekasirika sana kusikia unaishi na mpwa wao, tuma hiyo posa haraka ili tuwapoze lakini ukitaka kuja kujitambulisha mtajipanga wenyewe kwa nafasi yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kwamba nachekesha huo ndio ukweli na uhakika wa jinsi wanavyoishi, jamaa akienda kazini anaacha kodi ya meza lakini akirudi anaambiwa hakuna bajeti ya chakula chake pale, imekuwa mazowea kila hela anayoipata yooooote inafikia kwa mwanamke, unaweza kumuona ana sh laki 3 sasa hivi, akiingia ndani akatoka usishangae anakuomba buku......keshakung'utishwa zote .....

Tulikuwa tunapiga nae tungi na hata siku anamnunua huyo mwanamke tulikuwa tunapiga ulanzi, lakini kwa sababu mwanamke hanywagi kamkataza nae kunywa eti ana majini makorofi sana , mwezi uliopita walipata msiba shangazi yao alifariki lakini akamkataza hakuna kwenda kulala huko msibani utakwenda siku ya kuzika na kurudi, jumamosi iliyopita jumuiya ilikuwa inasali kwake lakini akamkataza hakuna kutoka na yeye akatii.........hakutoka!!!

Niendelee kuwapa visa vyao au niishie hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo alichokifanya ni kuamua kusajiri malaya ndan mwake kwa mda mrefu tu. Ndio maana hayo yote yanatokea na huyo dem yeye akili yake bado inahesabu yupo kwenye biashara.
 
Nilimuuliza hilo swali, na yeye akawa kama kashituka flani hivi, lakini alipolifikisha kwa wife nikaanza kuona action.......mke kaninunia na jamaa hanisemeshi tena, na ameambiwa ahakikishe hilo la posa linakamilika kabla mwezi huu wa 5 haujaisha ikizidi hapo yeye anaondoka, halafu kibaya ni kwamba hajawahi kumfahamu ndugu yyte wa huyo anaemuita mke wake.......

Huyo mama mkwe anaetakiwa kutumiwa hiyo laki 6 ya posa na yeye hamfahamu ilipigwa tu simu akapewa aongeaa akaambiwa mnatakiwa kutoa posa haraka maana wajomba wa mkeo wamekasirika sana kusikia unaishi na mpwa wao, tuma hiyo posa haraka ili tuwapoze lakini ukitaka kuja kujitambulisha mtajipanga wenyewe kwa nafasi yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa bwege kwel. Kama kungekuwa na mapenzi bas binti angekuwa ameisha mpeleka kwao jamaa ajitambulishe.
Hapo ajue biashara inaendelea ni kuwa kasogezewa duka karibu tu
 
Daaah, nimekuja haraka nikajua ni `Salvage' katika Marine operations.
 
Sio kwamba nachekesha huo ndio ukweli na uhakika wa jinsi wanavyoishi, jamaa akienda kazini anaacha kodi ya meza lakini akirudi anaambiwa hakuna bajeti ya chakula chake pale, imekuwa mazowea kila hela anayoipata yooooote inafikia kwa mwanamke, unaweza kumuona ana sh laki 3 sasa hivi, akiingia ndani akatoka usishangae anakuomba buku......keshakung'utishwa zote .....

Tulikuwa tunapiga nae tungi na hata siku anamnunua huyo mwanamke tulikuwa tunapiga ulanzi, lakini kwa sababu mwanamke hanywagi kamkataza nae kunywa eti ana majini makorofi sana , mwezi uliopita walipata msiba shangazi yao alifariki lakini akamkataza hakuna kwenda kulala huko msibani utakwenda siku ya kuzika na kurudi, jumamosi iliyopita jumuiya ilikuwa inasali kwake lakini akamkataza hakuna kutoka na yeye akatii.........hakutoka!!!

Niendelee kuwapa visa vyao au niishie hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yako amerogwa mkuu....Fanya namna ya kumsaidia ASAP
 
Back
Top Bottom