Unaweza maliza kidato cha nne ukasoma diploma nje ya nchi?

Ibnu uthaimin

Member
Jul 22, 2020
23
22
Wadau nilikuwa nauliza ivi inawezekana mtu kumaliza form four na akaenda kusomea diploma nje ya nchi.. Au ni tanzania pekee ndo inatoa elimu kwa ngazi ya diploma.. Na je mtu akitaka kusoma nje ya nchi baada ya form four anafanyeje.. Mwenye kujua anieleweshe plz
 
Unataka kusomea fani ipi?

Nchi zipi?
 
Back
Top Bottom