Unaweza kuwa na Advance au Higher Diploma ukasoma Masters?

bishororo

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
254
356
Habari wakuu

Ningependa kufahamu juu ya hili jambo nina Higher Diploma nataka nikasome Masters inawezekana?
 
Habari wakuu
Ningependa kufahamu juu ya hili jambo nna higher diploma nataka nkasome masters inawezekana?
Inawezekana sana,waliomaliza DIT 2006,kurudi nyuma walikuwa wanapata ADE,advanced diploma in engineering,walikuwa wanasoma masters vzr tu wakienda UD,nafikiri Kuna mwaka mmoja unapiga post graduate diploma,then unaendelea
 
Sidhani yaani usome masters bila undergraduate degree...hii ni sawa na kwenda peponi bila kufa.
Wapo wengi tu,aliyekuwa DC wa kiteto,Mh Magesa,amesoma DIT,advanced diploma in engineering,akatoka Hapo,akaenda UD,akapiga masters,
Usiwe mvivu jombaa,fungua tovuti ya DIT,cheki CV za malecturelers
 
yes Inawezekana 100%

Unafanya kwanza Post graduate diploma then masters.

Kumbuka Higher diploma/ Advanced diploma ipo sawia na digree ya kwanza
 
Habari wakuu

Ningependa kufahamu juu ya hili jambo nina Higher Diploma nataka nikasome Masters inawezekana?
Mkuu, kwanza nikufahamishe, Higher Diploma na Advanced Diploma ni vitu viwili tofauti kabisa.

Ukiwa na Advanced Diploma na una GPA ya 3.5 na kuendelea, unaruhusiwa kufanya Master Degree moja kwa moja bila kupitia Postgraduate Diploma.
 
Mimi nna higher diploma na nna gpa 4.2
 
HIGHER DIPLOMA NI SAWA NA NATIONAL TRAINING AWARD (NTA LEVEL 7) NA UNAIPATA NDANI YA MIAKA MIWILI, ADVANCED DIPLOMA ILIKUWA UNAIPATA NDANI YA MIAKA MITATU(NTA LEVEL 8) AMBAYO NI SAWA NA BACHELOR DEGREE , KWAHIYO HIGHER DIPLOMA UWEZI KUSOMA MASTERS DIRECT LAZIMA USOME KWANZA POST GRADUATE
 
Umeeleza vizuri kweli mkuu.
 
Back
Top Bottom