Unaweza kutekeleza majukumu ya Ubunge bila kuwa Pamoja na Chama chako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unaweza kutekeleza majukumu ya Ubunge bila kuwa Pamoja na Chama chako

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by FUSO, Jan 20, 2012.

 1. F

  FUSO JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  Wakuu,

  Bado napata wasiwasi sana kwa hili, kama Mwanachama "A" kafukuzwa uanachama wake by default atakuwa amepoteza uongozi wake wote ndani ya chama pamoja na hata Ubunge in case aliupata kutipitia chama chake.

  Endapo mwanachama huyu "A", ataamua kwenda mahakamani na mahakama ikaamua kubatilisha uamuzi wa vikao vya chama vilivyomtimua na kuamrisha kwamba arudishiwa uachama wake, kwa maana nyingine Mwanachama "A" atahudhuria vikao mbalimbali vya maamuzi ndani ya chama chake pamoja na ubunge. Na kama Chama kitaendelea na msimamo wake kwamba Mwanachama "A" kashafukuzwa mbinguni na duniani kamwe hakina imani naye na hakitakaa kimtambue tena;

  Wasiwasi wangu - Je huyu Mwanachama "A, anaweza kweli kutimiza majukumu yake ndani ya chama kama kawaida ikiwa pamoja na kuhudhuri vikao vya maamuzi vya chama, bila kupata suport ya chama husika? je huyu mwanachama "A" anaweza kutimiza majukumu yake ya Ubunge ikumbukwe bado atakuwa anatekeleza ilani ya uchaguzi wa chama chake kilichomfanya apate uwakilishi wa wanachi.

  Naomba msaada wa mawazo yenu kwa hili, linanipa shida kidogo.
   
Loading...