Unaweza kuta wote tupo mbinguni tayari, halafu haya maisha yanayoendelea ni kumbukumbu ya kila mtu kwa maisha aliyo yaishi kipindi yupo duniani

Sio kweli jamii forum ilikuwa haijaanzishwa,kwenye kumbukumbu isingekuwepo
 
Kuna scene sikucheza vizuri nataka irudiwe
Dah 😁😁😁
Sio kweli jamii forum ilikuwa haijaanzishwa,kwenye kumbukumbu isingekuwepo
Da unachekesha 😂😂 unajua ulicho kisema, ilikuwa haijaamzishwa lini hiyo? Jamii forum ilianzishwa lini unajua na unajua kumbukumbu yake ipoje maana kila mtu yupo kwenye kumbukumbu zake kwahiyo hiyo jamii forum ilishawahi kuwepo kwasasa kila unacho kiona kimerudiwa
 
But it’s not reality 😂😂😂
 
Kwa hiyo wanaozaliwa ni hao wanaokufa huko na kuja huku tuliko marehemu na wao wanaanza kuonyeshwa maisha yao!!

Sasa maisha yako ni yapi nini umewai experience kama maisha yako..

Lifecycle hii inahusisha marehemu tu... technologia hizi zinazoibuka kila siku zimewai kuwepo hapo kabla madege, internet, n.k.!!

Unataka kutuaminisha hata mabadiliko ya hali za nchi na tawala hizi zimewai kuwepo!!

Ni movie tu tunayoiona na huko ambako tumewai ishi ni wapi na hapa tulipo ndiyo mbingu yenyewe

Je elimu yooote ya maandiko matakifu na history ya ulimwengu huu kwako wewe ni sifuri....!!!!!
 
Kuna mashine inaitwa visual reality ni aina ya video game unavaa lihelmenti linakletea picha fulani na mazingir a amaizing ambayo yanayoweza kukufanya kama upo katka universal fulan so imagine kupitia huu uzi huenda nje ya hili box kuna reality fulani
 
Jana nilipanga Leo kuna sehem niende lakini nimeghairi,nikiamua naweza kwenda hata sasa,je ilikuwaje nilienda sikukwenda?
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom