Mkongo 1
JF-Expert Member
- May 31, 2020
- 302
- 352
Huyu kauabest comment ya 2021 , nimecheka sana paka wachina hapa wananishangaa
Huyu kauabest comment ya 2021 , nimecheka sana paka wachina hapa wananishangaa
Dah 😁😁😁Kuna scene sikucheza vizuri nataka irudiwe
Da unachekesha 😂😂 unajua ulicho kisema, ilikuwa haijaamzishwa lini hiyo? Jamii forum ilianzishwa lini unajua na unajua kumbukumbu yake ipoje maana kila mtu yupo kwenye kumbukumbu zake kwahiyo hiyo jamii forum ilishawahi kuwepo kwasasa kila unacho kiona kimerudiwaSio kweli jamii forum ilikuwa haijaanzishwa,kwenye kumbukumbu isingekuwepo
But it’s not reality 😂😂😂Dah 😁😁😁
Da unachekesha 😂😂 unajua ulicho kisema, ilikuwa haijaamzishwa lini hiyo? Jamii forum ilianzishwa lini unajua na unajua kumbukumbu yake ipoje maana kila mtu yupo kwenye kumbukumbu zake kwahiyo hiyo jamii forum ilishawahi kuwepo kwasasa kila unacho kiona kimerudiwa
Itakuwa ni hatari 😂😂Inasikitisha sana kama haya mateso tunayopata yaani tulishapitia.
😂😂😂😂 nimecheka sanaKama mbinguni Hali ndio Basi tulipigwa.
Mchungaji Gwajima nirudishie Sadaka zangu mbwa wewe.
🤣🤣 aisee umenifanya nicheke sanaKuna scene sikucheza vizuri nataka irudiwe
Ukimpata director utanitaarifu🚶🚶🙄🤣🤣 aisee umenifanya nicheke sana