Unaweza kupigwa risasi kwa niaba ya mwanao?

Ndiyo kwa sababu comment yako inaonyesha ni kama vile wanawake WOTE (na siyo BAADHI) wana tabia ya kubambikia wanaume zao watoto wasio wao

Uzi unahusu mkaka wa Dar yumo humu JF kamtumia nauli mdada wa Mwanza aende Dar akampe mzigo kufika kule mdada akamwambia wakapime mkaka akakataa mdada akamwambia basi hakuna mzigo akamzuga akamkimbia kama nakuona unavyoenda kumtukana huyo dada na kumdharau huyo kaka Lizarazu
Sasa wewe Unaona hiyo comment yako inaendana na maudhui ya hii Mada!? wewe ndio unapenda Sana kubadilisha Mada.

Uzi upi huo na unahusu nini?
 
Ahahah!! Waambie wote ni washenzi kibuyuu
Ndiyo kwa sababu comment yako inaonyesha ni kama vile wanawake WOTE (na siyo BAADHI) wana tabia ya kubambikia wanaume zao watoto wasio wao

Uzi unahusu mkaka wa Dar yumo humu JF kamtumia nauli mdada wa Mwanza aende Dar akampe mzigo kufika kule mdada akamwambia wakapime mkaka akakataa mdada akamwambia basi hakuna mzigo akamzuga akamkimbia kama nakuona unavyoenda kumtukana huyo dada na kumdharau huyo kaka Lizarazu
 
More often than not Any child 100% biologically belongs to his/her mother but not often a child biologically bolong to father.
Basi hapo najua unaongelea swala la mwanamke kumbambikizia mwanaume wake mtoto asiye wake
 
Wengi wataweza hasa wamama na si wababa
Dah...hii ni ya kiasili kabisa....kamata kifaranga cha kuku..tetea(kuku jike) atahangaika nawe...kamata tetea ...jogoo atahangaika nawe....ila ukikamata jogoo hakuna anayejali.
Hata simba jike akiwa na watoto huwa mgumu kutoa mzigo...hivyo simba dume huwa na solution moja tu ...

Sent using Beretta ARX 160
 
Solution gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio ninaweza

Nimefanya hivyo

but not similar case as bullet but a hard casr more than a bullet

my son my everthing , my life and my only one
Dah....dadadeki...halafu siku DNA inasoma kwa jirani....tutakukuta Segerea unasubiri kitanzi

Sent using Beretta ARX 160
 
Back
Top Bottom