Unaweza Kupata Mkopo Baaada ya kusimamisha mwaka wa masomo?

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Sep 20, 2020
1,636
3,806
Habari JF,

Kuna dogo yuko mwaka wa pili semester TWO anataka kusimamisha masomo kwa sababu ya ada.

Anasema bodi ya mkopo wamemlipia kiasi so haiwezi kulipa huu mwaka hivyo kwa mujibu wake anasema anaenda kupambana ili mwaka kesho Aendelee na semester ya pili.

Ikumbukwe Boom zote 4 za second year ametumia (kusolve matatizo ya maradhi kwa mzazi wake)

Je, atakapo malizia mwaka wa pili afikapo mwaka wa tatu atapata mkopo wake?

Au ndio BC tena

Naomba kuwasilisha
 
Ili aendelee kupata mkopo kwa mwaka ujao wa masomo anatakiwa alipe 20% ya jumla ya matumizi aliyotumia mpaka kufikia huo mwaka wa 2.
 
Back
Top Bottom